Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,224
- 124,937
Kwa nini unadhani sitaki kuulizwa? Nilitakiwa nijibu vipi?haya majibu ni ya mtu asietaka kuulizwa.
Kwa nini unadhani sitaki kuulizwa? Nilitakiwa nijibu vipi?haya majibu ni ya mtu asietaka kuulizwa.
huna hao watoto 5 ndo maana jibu lako limenishtua mkuuKwa nini unadhani sitaki kuulizwa? Nilitakiwa nijibu vipi?
Mjibu basi wewe unayejua wako wangapihuna hao watoto 5 ndo maana jibu lako limenishtua mkuu
Kiongoz salama lkn umepoteaManabii wa mungu waliandika mengi Sana,page zote za Bible na hawakuchoka
Lakini kuhusu wao iliishia kusema tuishi nao kwa akili.
taratibu mkuu hapa hatugombani, kwa mujibu wa maelezo yako huko mwanzoni mwa uzi ulionesha kushangazwa sana na mtu wa umri huo kuhave 5 kidsMjibu basi wewe unayejua wako wangapi
Ndio nilishangazwa, sasa umeambiwa na nani kuwa mimi pia nina umri huo?taratibu mkuu hapa hatugombani, kwa mujibu wa maelezo yako huko mwanzoni mwa uzi ulionesha kushangazwa sana na mtu wa umri huo kuhave 5 kids
Mwaka juzi nilienda usukumani jina la kijiji nimesahau ila ilikuwa ShinyangaDada wa miaka 30 ana watoto watano
right hauna umri huo bt bado hujawa na familia ya 5 kids mkuu, kwa mtizamo wangu nadhani unaweza kua na 2 or 1kidNdio nilishangazwa, sasa umeambiwa na nani kuwa mimi pia nina umri huo?
Ni mtazamo wako sio lazima uwe ndio ukweliright hauna umri huo bt bado hujawa na familia ya 5 kids mkuu, kwa mtizamo wangu nadhani unaweza kua na 2 or 1kid
Duuh aisee noma sana, nimekumiss piaMwaka juzi nilienda usukumani jina la kijiji nimesahau ila ilikuwa Shinyanga
Nilimkuta mdada wa miaka 26 tayari ana watoto 5 mie nilistaajabu,kwanza umbo lake haoneshi kama hata ana idadi hiyo ya watoto..
Nilishangaa zaidi aliponiambia watoto wote hao amewazaa nyumbani kwa kusaidiwa na mkunga wa kijiji na ni uzazi wa kawaida bila kuhusisha kisu..
Mwisho kabisa aliniambia anatamani akifikisha umri wa miaka 30 awe tayari na watoto 8 na iwe ndio Mwisho wa kuwa kuzaa..
Nilichojofunza kuna makabila hayana changamoto ya uzazi lakini pia vyakula vinawasaidia sana..
Nimekumiss!!!!!......
upo sahih mkuu bt nimesema hivo coz nawajua wanawake wasomi walivo wavivu kuzaa watoto wengi.Ni mtazamo wako sio lazima uwe ndio ukweli
Mimi sio msomi mkuuupo sahih mkuu bt nimesema hivo coz nawajua wanawake wasomi walivo wavivu kuzaa watoto wengi.
sawa mkuu japo majibu yako hayaakisi uhalisia.Mimi sio msomi mkuu
Okeysawa mkuu japo majibu yako hayaakisi uhalisia.
Hapa umenena vizuri sanaIla hata nyie hamuridhiki bwana in short ni ngumu kumridhisha mwanadamu fanya Jambo lolote kwa kiasi bila kutegemea fadhila, unaweza mpa mtu kila kitu Ila ukawa hujui kubembeleza akaenda kwa anayejua kumbembeleza. In short you can't sastify a human being
Hana akili, zero brain[emoji23][emoji23][emoji23]huyu dada hajielewi nadhani ana kaulimbukeni flani hivi si unaona baada ya dhiki na kuanza kupendeza akaanza tabia yake halisi.
Exactly!! Kumbe na wewe unawajua vizuri mkuu. Tena umeongeza kitu muhimu sana, ni kweli wenye hofu ya Mungu wana afadhali. Lakini hawa wengine mmhumemaliza kila kitu,yani mwanamke kutosheka na kuridhika
labda aamue yeye mwenyewe ila sio eti kwa kumfanyia kitu/vitu
ndio kutamfanya atulie,thubutu yao! yani ukiona mwanamke katuliaa
n moyo wake na serikali yake ya kichwa imeamua kutulia,ila sio hayo magari wala pesa
tunazowapa eti ndio zinamtuliza,Never Never haipo hiyo,Mimi ndio mana mwanamke asie
na hofu ya Mungu simtaki maana najua tu nachukua bomu litalonilipukia anytime its a matter of time.
Nimependa mno ulivyofafanua vizuri, mifano uliyotoa, na ulivohitimishaumemaliza kila kitu,yani mwanamke kutosheka na kuridhika
labda aamue yeye mwenyewe ila sio eti kwa kumfanyia kitu/vitu
ndio kutamfanya atulie,thubutu yao! yani ukiona mwanamke katuliaa
n moyo wake na serikali yake ya kichwa imeamua kutulia,ila sio hayo magari wala pesa
tunazowapa eti ndio zinamtuliza,Never Never haipo hiyo,Mimi ndio mana mwanamke asie
na hofu ya Mungu simtaki maana najua tu nachukua bomu litalonilipukia anytime its a matter of time.
how come unapesa halafu huna nguvu za kiume ...hahahaa hayo ni matumizi mabaya ya pesaNatumai hamjambo wanabodi.
Wakuu hawa viumbe wa kuitwa wanawake ni viumbe wa ajabu sana, kuna dada mmoja mwenye watoto 5 alitelekezwa na mumewe maisha yakampiga mpaka basi... kwa kua mungu ni mwema, akamkutanisha na mwanaume mwenye pesa japo ana tatizo la nguvu za kiume...
Mwanaume alimueleza yule dada matatizo yake na akamwambia kama anaridhia basi amuoe, yule dada akakubali kuolewa na maisha yakafana sana.
Badae huyu dada akapata mchepuko ukawa unamgegeda, alivyo mjinga akasahau shida alizopitia akaamua kutoka kwa mwanaume anaemlelea familia yake bila shida akahamia kwa mchepuko ambae hana mbele wala nyuma.
Sasa maisha yamempiga analala njaa na familia yake anatamani arudi kwa yule bwana bt ndo haiwezekani tena, wanawake kuweni makini sana mfanyapo maamuzi juu ya maisha yenu, ni bora ukawa na mchepuko wa kukutoa ham huku upo kwako.
Huyu dada ukimuona anatia huruma sana, anaokena kama mzee akati ni dada wa miaka 30 pekee.
Teh teh, tena msomi mbobeziMimi sio msomi mkuu