Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

Kufanya ngono si ujinga ingekuwa hivo basi wanaume wengi 98% Ni wajinga maana Ni wahuni na bila papuchi Hawa survive. Kuna wanaume wameangamiza familia kisa familia so sishangai
mkuu huyu dada kajitakia mwenyewe, imagine mtu kakuweka wazi tatizo lake na anahudumia kila kitu, sasa kama shida kashaijua kwa nini asijiongeze akawa anagegedwa akiwa ndani ya ndoa we unadhani saivi angekua anajuta hivi?
 
Natumai hamjambo wanabodi.

Wakuu hawa viumbe wa kuitwa wanawake ni viumbe wa ajabu sana, kuna dada mmoja mwenye watoto 5 alitelekezwa na mumewe maisha yakampiga mpaka basi... kwa kua mungu ni mwema, akamkutanisha na mwanaume mwenye pesa japo ana tatizo la nguvu za kiume...

Mwanaume alimueleza yule dada matatizo yake na akamwambia kama anaridhia basi amuoe, yule dada akakubali kuolewa na maisha yakafana sana.

Badae huyu dada akapata mchepuko ukawa unamgegeda, alivyo mjinga akasahau shida alizopitia akaamua kutoka kwa mwanaume anaemlelea familia yake bila shida akahamia kwa mchepuko ambae hana mbele wala nyuma.

Sasa maisha yamempiga analala njaa na familia yake anatamani arudi kwa yule bwana bt ndo haiwezekani tena, wanawake kuweni makini sana mfanyapo maamuzi juu ya maisha yenu, ni bora ukawa na mchepuko wa kukutoa ham huku upo kwako.

Huyu dada ukimuona anatia huruma sana, anaokena kama mzee akati ni dada wa miaka 30 pekee.
Dada wa miaka 30 na watoto 👊! Lazima azeeke! By the way, pole Sana kwa kumfadhiri kunguru😂🤣😂! Mwache Mungu na pia nenda hospitali ukatibiwe hiyo kadhia ulonayo!
 
Mwanaume bila nguvu za kiume sio mwanaume. Sasa huyo mwanamke atakata kiu wapi?
 
You can't hunt what you can't kill, Huyo mwamba nae kazingua umeshajijua unatatizo why uwe na mtu biologically binti nae ana hisia anataka mpini umsuuze roho haijalishi ana watoto wangapi sio mbaya haikuwa ridhiki yake ,next time wanaume sisi tuwe makini pesa sio kila kitu, mapenzi hayatabiriki.
 
Mbona hata nyie mnachepuka hata mkipewa kila kitu,so sioni Cha kumlaumu hapo, ujinga wake ni alishindwa kula na kipofu hafu hajielewi inakuwaje mama watoto watano Hana akili hivo Wala hafikirii future ya wanawe!
mkuu nyie wanawake ni wajinga baadhi ya nyakati yaani mtu anathamini mgegedo kuliko familia yake
 
mkuu huyu dada kajitakia mwenyewe, imagine mtu kakuweka wazi tatizo lake na anahudumia kila kitu, sasa kama shida kashaijua kwa nini asijiongeze akawa anagegedwa akiwa ndani ya ndoa we unadhani saivi angekua anajuta hivi?
Huyo dada mjinga tu na yeye ndio maana baba watoto alimkimbia huyo, hafu kamuumiza Sana huyo baba si angefanya Siri Sana maana wanawake tunavumilia mda mrefu Sana, angemuheshimu mtu aliye msitiri basi.
Acha akome inaonyesha Ni sikio la kufa halisikii dawa
 
You can't hunt what you can't kill, Huyo mwamba nae kazingua umeshajijua unatatizo why uwe na mtu biologically binti nae ana hisia anataka mpini umsuuze roho haijalishi ana watoto wangapi sio mbaya haikuwa ridhiki yake ,next time wanaume sisi tuwe makini pesa sio kila kitu, mapenzi hayatabiriki.
ni kweli usemacho bt ujue mwamba alimuweka wazi mapema.
 
mkuu nyie wanawake ni wajinga baadhi ya nyakati yaani mtu anathamini mgegedo kuliko familia yake
Wanawake hatu mind Sana Hilo tendo hasa tukishakuwa na watoto huyo nashangaa, inaonyesha baada ya kutoka kwenye shida na kuanza kudamshi akavimba mapembe
 
Nilikuaga na mpenzi wangu mmoja huko nyuma, Hatukua tukikaa pamoja yeye kwake mimi kwangu,huwa akitaka kwenda saloon kutengeneza nywele kusuka kutengeneza kucha nk alikua anakuja saloon Kwangu (nina saloon classic safi sana kwa ajili ya kina dada)

na niliifunguaga hii saloon kutokana na hasira za kuombwa hela za saloon,kucha kila wiki/mwezi basi nikawaza sana nikaema hizi hela ninazotoa Je ningekua na saloon zingenitoka? nikaona hataaa haiwezekani acha nifungue Kwani sh.ngapi "nikafungua" ndani vitu vya saloon nikawa naweka vile Classic kwasababu lengo langu halikua wateja bali ni Mpenzi wangu aende pata huduma hapo

hela yangu isipoteee shida zipungue,Huyu dada nikamtambulisha kwa wafanyakazi saloon wakamjua kama ndio Shemeji/wifi Boss tena,si unajua zile...

akawa akienda saloon bili yake nawambia nitalipa mimi kwahyo isije tokea hata siku 1 nikaskia kadaiwa hela,basi bana yeye akawa anaenda saloon kufanya kila anachojiskia,hamna wakumuuliza si unajua Baby wake Boss tena.

unajua ktk mahusiano mengi sana huwa n kama TUITION so yule shost tulikuja kupshana mahali ktk mambo yetu wenyewe kila mtu akaridhia afate mambo yake.

Tukawa hatusalimiani hatutumian msg wala hamna kitu mzee kimya kimya,sasa ktk kipiindi nilipokuja gundua akili za wanawake ni sometimes yes smetimes NO ni hapa...

Kumbe bana mwenzaangu utaratbu wa kwenda saloon kutengeneza kucha/nywele/make up/kupga pcha anao kama kawaida anauendeleza na Unajua wafanyakazi hawawezi mkataza kwasababu hawaelewi kitu na ruhusa ya yeye kwenda pale si mimi mwenyewe nilisharuhusu bana.

siku 1 nikasafiri kama wiki 3 hv sikua mjini,hesabu zangu huwa nachukuaga kwa wiki,niliporudi siku ya kupewa hesabu napewa na bili ya yule bi shost wangu,Nikawauliza kwan bado anakujaga hapa? wakajibu ndio anakujaga sana tu kila baada ya siku 3 anakuja either kuosha au kubadlisha rangi kucha.

sikuongea kitu,nikawambia sasa naomba mnisikilize Huyu si mpenzi wangu tena,naomba kuanzia leo atakapokuja mum treat kama mteja wa kawaida na awalipe hela zenu hata akigusa kitana kama n hela Awalipe tu,nimeeleweka!? wakajibu "Ndio mzeee"

Nimetoka kuwapa somo leo asubuhi,mchana Bi shost huyo kodo kodo kodo kaingia saloon wakamkaribisha kwa mbwe mbwe zote,wakamuhudumia mwanzo mwisho Yani alihudumiwa hiyo siku kama V.V.I.P haya kamaliza hudumiwa anapewa bili inatakiwa 70k yani wanaume wanaisema elufu sabini (70,000)

Dada anabaki anawatolea macho anawauliza eti "yanini" basi kuna msusi wangu mmoja nyoko huyo anasuta mithili ya mdada wa mombasa,akikutukana tusi n lile lile ila jinsi anavyolitamka unaweza ukafkiri ni JIPYA,akamuamkia.

Bwana weee walizozazana humo ndani mwisho nipo zangu kazini naona simu ya Shost inaingia nikajua huyu tayari kanasa,akipiga simu nakata,maana nisipopokea atahisi labda nipo mbali na simu basi nikawa nakata ili ajue nipo na simu ila sitaki kupokea.

Huko saloon walichukuana mguu kwa mguu hadi ATM b shost katoa 70000 ya watu ila kanuna mbaya mbovu,hazijaisha hata wiki bi dada karudi anaomba msamaha, Nikajua huyu mwanaharamu narudi ana lake..nikamtia block na kumpa makavu live.

Wanawake hawa waone tu hapo wanatembea wazuriiiii ila bana ukikutana na liparachichi mbona unaweza ukatamani ungekua hata na Asha boko kijulikane kimoja.
 
Huyo dada mjinga tu na yeye ndio maana baba watoto alimkimbia huyo, hafu kamuumiza Sana huyo baba si angefanya Siri Sana maana wanawake tunavumilia mda mrefu Sana, angemuheshimu mtu aliye msitiri basi.
Acha akome inaonyesha Ni sikio la kufa halisikii dawa
right bt hili ni funzo kwenu mkuu
 
ni kweli usemacho bt ujue mwamba alimuweka wazi mapema.
Sawa lakini mwamba alitakiwa ajue mwenzie nae anahisia lazima amkune hataweza kukaa kama mjane, sometimes unaweza laumu huyo demu lakini automatically nae hamu alikuwa nayo istoshe kiwango cha hamu kinatofautiana believe me or not hata ingelikuwa vice versa bado hata mwamba nae angepiga mechi za nje kusuuza rungu.....!!
 
Nilikuaga na mpenzi wangu mmoja huko nyuma, Hatukua tukikaa pamoja yeye kwake mimi kwangu,huwa akitaka kwenda saloon kutengeneza nywele kusuka kutengeneza kucha nk alikua anakuja saloon Kwangu (nina saloon classic safi sana kwa ajili ya kina dada)

na niliifunguaga hii saloon kutokana na hasira za kuombwa hela za saloon,kucha kila wiki/mwezi basi nikawaza sana nikaema hizi hela ninazotoa Je ningekua na saloon zingenitoka? nikaona hataaa haiwezekani acha nifungue Kwani sh.ngapi "nikafungua" ndani vitu vya saloon nikawa naweka vile Classic kwasababu lengo langu halikua wateja bali ni Mpenzi wangu aende pata huduma hapo

hela yangu isipoteee shida zipungue,Huyu dada nikamtambulisha kwa wafanyakazi saloon wakamjua kama ndio Shemeji/wifi Boss tena,si unajua zile...

akawa akienda saloon bili yake nawambia nitalipa mimi kwahyo isije tokea hata siku 1 nikaskia kadaiwa hela,basi bana yeye akawa anaenda saloon kufanya kila anachojiskia,hamna wakumuuliza si unajua Baby wake Boss tena.

unajua ktk mahusiano mengi sana huwa n kama TUITION so yule shost tulikuja kupshana mahali ktk mambo yetu wenyewe kila mtu akaridhia afate mambo yake.

Tukawa hatusalimiani hatutumian msg wala hamna kitu mzee kimya kimya,sasa ktk kipiindi nilipokuja gundua akili za wanawake ni sometimes yes smetimes NO ni hapa...

Kumbe bana mwenzaangu utaratbu wa kwenda saloon kutengeneza kucha/nywele/make up/kupga pcha anao kama kawaida anauendeleza na Unajua wafanyakazi hawawezi mkataza kwasababu hawaelewi kitu na ruhusa ya yeye kwenda pale si mimi mwenyewe nilisharuhusu bana.

siku 1 nikasafiri kama wiki 3 hv sikua mjini,hesabu zangu huwa nachukuaga kwa wiki,niliporudi siku ya kupewa hesabu napewa na bili ya yule bi shost wangu,Nikawauliza kwan bado anakujaga hapa? wakajibu ndio anakujaga sana tu kila baada ya siku 3 anakuja either kuosha au kubadlisha rangi kucha.

sikuongea kitu,nikawambia sasa naomba mnisikilize Huyu si mpenzi wangu tena,naomba kuanzia leo atakapokuja mum treat kama mteja wa kawaida na awalipe hela zenu hata akigusa kitana kama n hela Awalipe tu,nimeeleweka!? wakajibu "Ndio mzeee"

Nimetoka kuwapa somo leo asubuhi,mchana Bi shost huyo kodo kodo kodo kaingia saloon wakamkaribisha kwa mbwe mbwe zote,wakamuhudumia mwanzo mwisho Yani alihudumiwa hiyo siku kama V.V.I.P haya kamaliza hudumiwa anapewa bili inatakiwa 70k yani wanaume wanaisema elufu sabini (70,000)

Dada anabaki anawatolea macho anawauliza eti "yanini" basi kuna msusi wangu mmoja nyoko huyo anasuta mithili ya mdada wa mombasa,akikutukana tusi n lile lile ila jinsi anavyolitamka unaweza ukafkiri ni JIPYA,akamuamkia.

Bwana weee walizozazana humo ndani mwisho nipo zangu kazini naona simu ya Shost inaingia nikajua huyu tayari kanasa,akipiga simu nakata,maana nisipopokea atahisi labda nipo mbali na simu basi nikawa nakata ili ajue nipo na simu ila sitaki kupokea.

Huko saloon walichukuana mguu kwa mguu hadi ATM b shost katoa 70000 ya watu ila kanuna mbaya mbovu,hazijaisha hata wiki bi dada karudi anaomba msamaha, Nikajua huyu mwanaharamu narudi ana lake..nikamtia block na kumpa makavu live.

Wanawake hawa waone tu hapo wanatembea wazuriiiii ila bana ukikutana na liparachichi mbona unaweza ukatamani ungekua hata na Asha boko kijulikane kimoja.
Dah, hii inagusa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duh 🙄
 
Back
Top Bottom