Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

Ila Mimi nilikupa mfano ninaoujua Mimi sio mfano wa mtoa post huyu ninaemfaham anaish mjini ana miaka 31 watoto 6 na maisha safi tu
Ni very few wanawake successful kuzaa watoto wengi at that age mhhh kazi tu inakuweka busy plus likixo hao wa hvo very few and exceptional, hasa wenye hela zao.
 
Natumai hamjambo wanabodi.

Wakuu hawa viumbe wa kuitwa wanawake ni viumbe wa ajabu sana, kuna dada mmoja mwenye watoto 5 alitelekezwa na mumewe maisha yakampiga mpaka basi... kwa kua mungu ni mwema, akamkutanisha na mwanaume mwenye pesa japo ana tatizo la nguvu za kiume...

Mwanaume alimueleza yule dada matatizo yake na akamwambia kama anaridhia basi amuoe, yule dada akakubali kuolewa na maisha yakafana sana.

Badae huyu dada akapata mchepuko ukawa unamgegeda, alivyo mjinga akasahau shida alizopitia akaamua kutoka kwa mwanaume anaemlelea familia yake bila shida akahamia kwa mchepuko ambae hana mbele wala nyuma.

Sasa maisha yamempiga analala njaa na familia yake anatamani arudi kwa yule bwana bt ndo haiwezekani tena, wanawake kuweni makini sana mfanyapo maamuzi juu ya maisha yenu, ni bora ukawa na mchepuko wa kukutoa ham huku upo kwako.

Huyu dada ukimuona anatia huruma sana, anaokena kama mzee akati ni dada wa miaka 30 pekee.
Nadhani unajutia pia kuzaliwa na mamako kiumbe wa ajabu.
Pole
 
Nadhani unajutia pia kuzaliwa na mamako kiumbe wa ajabu.
Pole
mkuu umeenda mbali mno, kauli za jumla kuhusu jinsia hua na lengo la kufikisha ujumbe tu, mfano ke anaweza kosewa na me mmoja bt akasema wanaume wote baba yao mmoja, je hapo amemaanisha wanaume wote wamemkosea au me wote wapo ka huyo alomkosea.
 
Mate usishangae Sana Kuna binti wa miaka 24 ana watoto watatu..sasa pata pita baada ya 30 atakuwa na wangapi..na kuna dada and miaka 36 ana watoto 7 huku kitaa..wapo mbona
huyu hajaishi uswahilini ndo maana anashangaa mkuu
 
Ni very few wanawake successful kuzaa watoto wengi at that age mhhh kazi tu inakuweka busy plus likixo hao wa hvo very few and exceptional, hasa wenye hela zao.
Wapo wanawake wako successful kwa Kazi za waume zao so wao wako tu nyumban kulea familia kwahy wao hawana Kazi ya kuwakeep busy zaid ya kulea familia
 
Wapo wanawake wako successful kwa Kazi za waume zao so wao wako tu nyumban kulea familia kwahy wao hawana Kazi ya kuwakeep busy zaid ya kulea familia
Good for them since wameona kazi iliyo waleta Ni kuzaa sawa tu,maana kuzaa hata mbuzi huzaa pia
 
Good for them since wameona kazi iliyo waleta Ni kuzaa sawa tu,maana kuzaa hata mbuzi huzaa pia
Kwan kuna kazi nyingine ya kufanya zaid ya hiyo?? Yes kuzaa ndio Kazi kubwa ya kwanza hayo mengne Ni kuingilia majukumu yasiyohusu
 
Mbona hata nyie mnachepuka hata mkipewa kila kitu,so sioni Cha kumlaumu hapo, ujinga wake ni alishindwa kula na kipofu hafu hajielewi inakuwaje mama watoto watano Hana akili hivo Wala hafikirii future ya wanawe!
Ushafika.... Tazama ulivyonegative....
 
Kwan kuna kazi nyingine ya kufanya zaid ya hiyo?? Yes kuzaa ndio Kazi kubwa ya kwanza hayo mengne Ni kuingilia majukumu yasiyohusu
Kila mtu na kiupaumbele chake, Ni sawa na usifie kukojoa kuwa jukumu kumbe ni Jambo tu la asili la mwili kutoa taka, Sasa ndio Kama kuzaa
 
Kufanya ngono si ujinga ingekuwa hivo basi wanaume wengi 98% Ni wajinga maana Ni wahuni na bila papuchi Hawa survive. Kuna wanaume wameangamiza familia kisa familia so sishangai
Ni ujinga kupenda ngono. Tengua kauli... Na hiyo asilimia yako utadhani unafanya kazi taasisi ya takwimu..... Msyuuuuuu
 
Ni ujinga kupenda ngono. Tengua kauli... Na hiyo asilimia yako utadhani unafanya kazi taasisi ya takwimu..... Msyuuuuuu
Isingekuwa Hilo tendo kizazi kisingekuwepo, so sitengui kauli yangu ng'o
 
Alizaa huyo first born akiwa na umri gani?
Alifanya mtihani wa darasa la Saba ana mimba,niliporudi likizo ya midterm form one nikamkuta na mtoto.
Huku Namtumbo binti wa miaka 13 kuingia labour na kuleta kiumbe sio kitu Cha ajabu
 
Kila mtu na kiupaumbele chake, Ni sawa na usifie kukojoa kuwa jukumu kumbe ni Jambo tu la asili la mwili kutoa taka, Sasa ndio Kama kuzaa
Kuna vipaumbele vya kimaumbile ambayo huwez kuyapangia cha kufanya lakini vipo vya kimaisha ambavyo ndivyo inatakiwa uoabge !! Tatzo linakuja pale kipaumbele cha kimwili kinapopangiwa ndo matokeo yake watu wanaanza kutafuta njia za uzazi wa mpango na kufunga kizazi
 
Kwanini mtu mzima ushindwe kuji control maana una akili na utashi unaishia kuzaa watu ka utitiri huku unakuja kuwatesa huwezi kuwatunza watoto wanakuwa wa mitaani na watapiamlo, huo ka si ukosefu wa akili Nini. Fanyeni zinaa yenu Ila sio kuleta viumbe msivo weza hata kuwalisha na kuwavisha.
 
Sawa lakini mwamba alitakiwa ajue mwenzie nae anahisia lazima amkune hataweza kukaa kama mjane, sometimes unaweza laumu huyo demu lakini automatically nae hamu alikuwa nayo istoshe kiwango cha hamu kinatofautiana believe me or not hata ingelikuwa vice versa bado hata mwamba nae angepiga mechi za nje kusuuza rungu.....!!
What if the other way around?! Ni vipi huyo dada apate maradhi ya kimwili yatayomfanya ashindwe hata kutamanika kufanya mapenzi, unahisi jamaa atakuwa ametenda haki akimletea mwanamke mwingine hapo ndani?!
 
Back
Top Bottom