cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,696
Okayright bt nilikua naweka sawa tu mkuu
Okayright bt nilikua naweka sawa tu mkuu
Mbona hata sisi tunafanya hivoSisi tukichepuka tunafanya kimyakimya baadae tunarud kwa nyumba my dear
Hii ndio huwa inachekesha sana.Wanawake wanashikiwa akili na shetani mkuu, unaweza kumweleza ujinga wako wote unaofanya bila kuficha na baadae ukiomba mbunye anakupa na mtoto anakuzalia.
Vile hatujali Mambo ya kile kile kiungo hakina makombo na tunajua nyie ni Malaya so Wala Hilo halitusumbui kila mtu ale kwa nafasi yakeHii ndio huwa inachekesha sana.
Utakuta mwanamke anakwambia yaani wewe kaka ni malaya hadi basi wanawake wote uliotembea nao nawafahamu,lkn badae ukiomba mchezo anakupa.
Agiza kinywaji popote ulipo bill kwakoNakubaliana na wewe
Vile hatujali Mambo ya kile kile kiungo hakina makombo na tunajua nyie ni Malaya so Wala Hilo halitusumbui kila mtu ale kwa nafasi yake
Adui wa mwanamke ni mwanamke, akili zao muda wote zinawaza fitina tu.....Na kingine ambacho kinanichekesha utakuta unamshauri mwenzako achana na yule kaka ni malaya sana,halafu badae akikutongoza wewe unamkubalia hapo ndio huwa nachoka sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huo unyago Ni huko Tunduru Namtumbo sio Sana Ila kwa ujumla jamii zote 2 ngono katika umri mdogo Ni kawaidaHuko namtumbo niliona serikali ikihangaika Sana maana binti akichezwa unyago Kwisha habari yako. Na ukienda kijijini watu wa umri wa 30 years Ni wazee kabisa Hadi na wajukuu, inashangaza sana
Hatari Sana aiseeHuo unyago Ni huko Tunduru Namtumbo sio Sana Ila kwa ujumla jamii zote 2 ngono katika umri mdogo Ni kawaida
Mimi siwezi date baby wa rafiki yangu hata iweje, pia sishauri mtu aachane Ila Kuna vitu vinahatarisha uhai namshauri tu abwage manyangaNa kingine ambacho kinanichekesha utakuta unamshauri mwenzako achana na yule kaka ni malaya sana,halafu badae akikutongoza wewe unamkubalia hapo ndio huwa nachoka sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji122][emoji122]Agiza kinywaji popote ulipo bill kwako
Mimi siwezi date baby wa rafiki yangu hata iweje, pia sishauri mtu aachane Ila Kuna vitu vinahatarisha uhai namshauri tu abwage manyanga
mwanamke akichepuka ni ngum mno kujificha, hatokuambia kwa maneno bt vitendo vyake vitaongea.Mbona hata sisi tunafanya hivo
Ila baadhi yenu dada duuh!! Japo mnatusemaga tu sisi, ila nafikiri hata nyie sex ni priority number one kwenye mahusiano.Dada wa miaka 30 ana watoto watano
Yaan nimemshangaa huyo dada hadi nimeshindwa kushangaa. Angekuwa dada yangu ningempa makonzi kupoza hasira, teh!Wanawake hatu mind Sana Hilo tendo hasa tukishakuwa na watoto huyo nashangaa, inaonyesha baada ya kutoka kwenye shida na kuanza kudamshi akavimba mapembe
Hahaaa mkuu duuh. Yaan ndo maana mi nawashangaaga humu vijana unakuta wanavodanganyana ooh mfanyie hiki na hiki mkeo, girl wako ili akupende zaidi, sijui asikuchiti au asikuache, awe wako tu mmmh. Moyoni tu najisemea hawa hawajui akili za hawa viumbe.Nilikuaga na mpenzi wangu mmoja huko nyuma, Hatukua tukikaa pamoja yeye kwake mimi kwangu,huwa akitaka kwenda saloon kutengeneza nywele kusuka kutengeneza kucha nk alikua anakuja saloon Kwangu (nina saloon classic safi sana kwa ajili ya kina dada)
na niliifunguaga hii saloon kutokana na hasira za kuombwa hela za saloon,kucha kila wiki/mwezi basi nikawaza sana nikaema hizi hela ninazotoa Je ningekua na saloon zingenitoka? nikaona hataaa haiwezekani acha nifungue Kwani sh.ngapi "nikafungua" ndani vitu vya saloon nikawa naweka vile Classic kwasababu lengo langu halikua wateja bali ni Mpenzi wangu aende pata huduma hapo
hela yangu isipoteee shida zipungue,Huyu dada nikamtambulisha kwa wafanyakazi saloon wakamjua kama ndio Shemeji/wifi Boss tena,si unajua zile...
akawa akienda saloon bili yake nawambia nitalipa mimi kwahyo isije tokea hata siku 1 nikaskia kadaiwa hela,basi bana yeye akawa anaenda saloon kufanya kila anachojiskia,hamna wakumuuliza si unajua Baby wake Boss tena.
unajua ktk mahusiano mengi sana huwa n kama TUITION so yule shost tulikuja kupshana mahali ktk mambo yetu wenyewe kila mtu akaridhia afate mambo yake.
Tukawa hatusalimiani hatutumian msg wala hamna kitu mzee kimya kimya,sasa ktk kipiindi nilipokuja gundua akili za wanawake ni sometimes yes smetimes NO ni hapa...
Kumbe bana mwenzaangu utaratbu wa kwenda saloon kutengeneza kucha/nywele/make up/kupga pcha anao kama kawaida anauendeleza na Unajua wafanyakazi hawawezi mkataza kwasababu hawaelewi kitu na ruhusa ya yeye kwenda pale si mimi mwenyewe nilisharuhusu bana.
siku 1 nikasafiri kama wiki 3 hv sikua mjini,hesabu zangu huwa nachukuaga kwa wiki,niliporudi siku ya kupewa hesabu napewa na bili ya yule bi shost wangu,Nikawauliza kwan bado anakujaga hapa? wakajibu ndio anakujaga sana tu kila baada ya siku 3 anakuja either kuosha au kubadlisha rangi kucha.
sikuongea kitu,nikawambia sasa naomba mnisikilize Huyu si mpenzi wangu tena,naomba kuanzia leo atakapokuja mum treat kama mteja wa kawaida na awalipe hela zenu hata akigusa kitana kama n hela Awalipe tu,nimeeleweka!? wakajibu "Ndio mzeee"
Nimetoka kuwapa somo leo asubuhi,mchana Bi shost huyo kodo kodo kodo kaingia saloon wakamkaribisha kwa mbwe mbwe zote,wakamuhudumia mwanzo mwisho Yani alihudumiwa hiyo siku kama V.V.I.P haya kamaliza hudumiwa anapewa bili inatakiwa 70k yani wanaume wanaisema elufu sabini (70,000)
Dada anabaki anawatolea macho anawauliza eti "yanini" basi kuna msusi wangu mmoja nyoko huyo anasuta mithili ya mdada wa mombasa,akikutukana tusi n lile lile ila jinsi anavyolitamka unaweza ukafkiri ni JIPYA,akamuamkia.
Bwana weee walizozazana humo ndani mwisho nipo zangu kazini naona simu ya Shost inaingia nikajua huyu tayari kanasa,akipiga simu nakata,maana nisipopokea atahisi labda nipo mbali na simu basi nikawa nakata ili ajue nipo na simu ila sitaki kupokea.
Huko saloon walichukuana mguu kwa mguu hadi ATM b shost katoa 70000 ya watu ila kanuna mbaya mbovu,hazijaisha hata wiki bi dada karudi anaomba msamaha, Nikajua huyu mwanaharamu narudi ana lake..nikamtia block na kumpa makavu live.
Wanawake hawa waone tu hapo wanatembea wazuriiiii ila bana ukikutana na liparachichi mbona unaweza ukatamani ungekua hata na Asha boko kijulikane kimoja.
"You will never satisfy a woman"... labda a woman from another planet
Nadhani nia yake ilikuwa kampani tu na kusaidiwa majukumu ya hapa na pale ya ndani.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata huyo jamaa alichukua maamuzi magumu sana kumuoa wakati akijua nguvu za kiume hana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa hiyo alitaka heshima tu ili watu wasimuone nyoka wa kibisaNadhani nia yake ilikuwa kampani tu na kusaidiwa majukumu ya hapa na pale ya ndani.
Na pia kuweka heshima kwenye jamii. Kukaa peke yako napo mtihani ujue
mkuu mwanaume anapenda heshima hata kama anajijua hayawezi, kuna ndoa nyingi mno za namna hii na lengo ni mhusika aonekane yupo na mke.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa hiyo alitaka heshima tu ili watu wasimuone nyoka wa kibisa