Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

ku
mkuu haya matatizo ya nguvu za kiume yanawakabili sana wenye pesa, utakuta anauwezo wa kuzalisha bt nguvu za kiume mtihani, mungu hakupi vyote.
kuna option nyingi sana za kutafuta solution kama ukiwa na hela sema watanzania walio wengi hawataki kwenda hospitali..yaani ukiwa na pesa mambo haya ni madogo sana nenda hsospitali tuu kwisha habari yake
 
Natumai hamjambo wanabodi.

Wakuu hawa viumbe wa kuitwa wanawake ni viumbe wa ajabu sana, kuna dada mmoja mwenye watoto 5 alitelekezwa na mumewe maisha yakampiga mpaka basi... kwa kua mungu ni mwema, akamkutanisha na mwanaume mwenye pesa japo ana tatizo la nguvu za kiume...

Mwanaume alimueleza yule dada matatizo yake na akamwambia kama anaridhia basi amuoe, yule dada akakubali kuolewa na maisha yakafana sana.

Badae huyu dada akapata mchepuko ukawa unamgegeda, alivyo mjinga akasahau shida alizopitia akaamua kutoka kwa mwanaume anaemlelea familia yake bila shida akahamia kwa mchepuko ambae hana mbele wala nyuma.

Sasa maisha yamempiga analala njaa na familia yake anatamani arudi kwa yule bwana bt ndo haiwezekani tena, wanawake kuweni makini sana mfanyapo maamuzi juu ya maisha yenu, ni bora ukawa na mchepuko wa kukutoa ham huku upo kwako.

Huyu dada ukimuona anatia huruma sana, anaokena kama mzee akati ni dada wa miaka 30 pekee.
hii inaitwa mwanakulifind mwanakuliget.... sometimes ni tamaa tu mungu amsaidie
 
ku

kuna option nyingi sana za kutafuta solution kama ukiwa na hela sema watanzania walio wengi hawataki kwenda hospitali..yaani ukiwa na pesa mambo haya ni madogo sana nenda hsospitali tuu kwisha habari yake
mkuu kuna matatizo mengine ni sugu yapo nje ya uwezo wa kibinadam, unakuta mtu kashaenda kila pahala bt wapi, si kila jambo linpatiwa suluhu na pesa.
 
mkuu nyie wanawake ni wajinga baadhi ya nyakati yaani mtu anathamini mgegedo kuliko familia yake

Hii ya kitu ya kuthamini mgegedo kuliko familia umeiona kwa wanawake tu? Nadhani kuna viumbe vinaongoza kwa kutelekeza familia na wazazi kisa....
 
mkuu kuna matatizo mengine ni sugu yapo nje ya uwezo wa kibinadam, unakuta mtu kashaenda kila pahala bt wapi, si kila jambo linpatiwa suluhu na pesa.
hakuna tatizo sugu katika uwezo wa mwanaume kusimamisha na kufanya tendo hata wale wenye erectile dysfunction yaani ambao uume hausimami kabisa wanatibika
 
Hii ya kitu ya kuthamini mgegedo kuliko familia umeiona kwa wanawake tu? Nadhani kuna viumbe vinaongoza kwa kutelekeza familia na wazazi kisa....
mkuu ipo pande zote bt mtu ukishajua umesitiriwa pahala ni bora ukafanya mambo kimya
 
hakuna tatizo sugu katika uwezo wa mwanaume kusimamisha na kufanya tendo hata wale wenye erectile dysfunction yaani ambao uume hausimami kabisa wanatibika
mkuu acha kubisha, kuna watu wametibiwa mahospital mpaka wamechoka na matatizo yao yapo vile vile.
 
Back
Top Bottom