Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,469
Natumai hamjambo wanabodi.

Wakuu hawa viumbe wa kuitwa wanawake ni viumbe wa ajabu sana, kuna dada mmoja mwenye watoto 5 alitelekezwa na mumewe maisha yakampiga mpaka basi... kwa kua mungu ni mwema, akamkutanisha na mwanaume mwenye pesa japo ana tatizo la nguvu za kiume...

Mwanaume alimueleza yule dada matatizo yake na akamwambia kama anaridhia basi amuoe, yule dada akakubali kuolewa na maisha yakafana sana.

Badae huyu dada akapata mchepuko ukawa unamgegeda, alivyo mjinga akasahau shida alizopitia akaamua kutoka kwa mwanaume anaemlelea familia yake bila shida akahamia kwa mchepuko ambae hana mbele wala nyuma.

Sasa maisha yamempiga analala njaa na familia yake anatamani arudi kwa yule bwana bt ndo haiwezekani tena, wanawake kuweni makini sana mfanyapo maamuzi juu ya maisha yenu, ni bora ukawa na mchepuko wa kukutoa ham huku upo kwako.

Huyu dada ukimuona anatia huruma sana, anaokena kama mzee akati ni dada wa miaka 30 pekee.
 
Mbona hata nyie mnachepuka hata mkipewa kila kitu,so sioni Cha kumlaumu hapo, ujinga wake ni alishindwa kula na kipofu hafu hajielewi inakuwaje mama watoto watano Hana akili hivo Wala hafikirii future ya wanawe!
 
Mbona hata nyie mnachepuka hata mkipewa kila kitu,so sioni Cha kumlaumu hapo, ujinga wake ni alishindwa kula na kipofu hafu hajielewi inakuwaje mama watoto watano Hana akili hivo Wala hafikirii future ya wanawe!
mkuu nyie wanawake ni wajinga baadhi ya nyakati yaani mtu anathamini mgegedo kuliko familia yake
 
Back
Top Bottom