Pagani Zonda
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 694
- 481
Mambo ni mengi mengi😂😂😂😂😂
Hawa watu wangejua sisi wanaume tukitaka kuoa tunaoa tuu sio mpaka hayo mambo , wangekua na Amani.
Ila Wanaume nao na mkongo 😅😅