Wanawake na magari


Mi nko single pia.
 
Aika simba. Iwa mara mapfungye nae, ngimuambuya tupu chandu aimba iha, kuore kindo kyoose pfo. Naikushela tupu!!! ngekaria ma imbia pfa womo pfo mbe kany. Leka ngieendelee iitukuo tikyi kipfa ngiwonyi wandu wafoi wawonyi kuore kindo kya uloi iha.. Pure tupu mangyi yako.

Mkuu hakuna matata, Nipo na Kasinde tunakula ujana mdogo mdogo!!!!
Ahahaha mie kimyaaaaaaa.....

Hajambo anamuulizia anti ake kila siku!!!




Haiye awae! Kazi unayo....
 
Last edited by a moderator:
Mmmmhh Mentor nina ugomvi na wewe, ndo umesababisha yote haya. Nakuja kigamboni, usitoke!! Hili umelianzisha inabidi ulimalize. Dr. Tized alikuwa ametulia wewe ukamfokonyoa aliko ona sasa........
 
Last edited by a moderator:
Anti anakula ujana, mwambie nakuja kigamboni namletea chama na choklet
Ahahaha mie kimyaaaaaaa.....

Hajambo anamuulizia anti ake kila siku!!!




Haiye awae! Kazi unayo....
 
Kweli kabisa maam, lakini kinyume chake ni pale mwanaume anapoingia jikoni kupika,kina dada wanakuchungulia kiudadisi kama unaweza kweli kupika chakula,ukikosea kidogo tu wanakucheka na kuusaidia upishi, Kifupi ngoma ni drooo.
 

ha ha ha unatisha
 
Mm cita mruhusu mke wang kuendesha gari coz wanambwembwe sn huku hawajui gharama ya gari lenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…