Wanawake na magari

Wanawake na magari

Nyepesi nyepesi zinasema Mentor kakimbia kigamboni sasa yuko mikomiko wacha nimsetie lock up pale rodizo

hehehe!!! huu uchokozi wake sasa umezidi mipaka



sure thing...he needs a real lock up without parole
 
Last edited by a moderator:
Watu kama nyie (inferiority complex) huwa hamkosekani humu...udogo wa gari una umuhimu kwenye story kwa kuwa lingekuwa kubwa lisingeshindwa kupita kwenye jiwe...

Ila kwa watu kama nyie mna equate udogo na price wakati kuna sports cars za bei na ndogo...be positive else utachukia kila mtu kwa ku analyse anachoongea!!!!


Dah...yani tuna tabu sisi --all u could see ni kigari chake kidogo ..hivi tukisema gari lake tutakuwa tumekosa nini?
 
You r so confident, I would like to know the end of this scene...
Aren't you watu8
Ahahaha lara 1 wewe ni wa kuniita mimi bazazi? Unanijua vyema lakini...hebu kanusha kwanza hii sentensi yako wasije wakaku quote!

Then nimesema watu8 ni daktari wako...sina maaana nyingine!
 
Last edited by a moderator:
Na aje hapa aseme!
Mentor ujue INTREST ZAKO NYINGI SANAAAA NAZISHILIA HUKU NSA! Watoto wazuri wathuri wanaomba file lako ujue? DARE TO MOCK THE NSA AND SEE! This aint a threat JUST AN OFFER YOU CANT REFUSE!:cool2: The NSA has a lot on you! Weather good or bad that HIGHLY depends on HOW WELL YOU TREAT ME!

Scratch my back i will scratch yours so they say!
 
Ahahaha lara 1 wewe ni wa kuniita mimi bazazi? Unanijua vyema lakini...hebu kanusha kwanza hii sentensi yako wasije wakaku quote!

Then nimesema watu8 ni daktari wako...sina maaana nyingine!
Remember baada ya bi mkubwa kungoka madarakani kama matokea ya VOTE OF NO CONFIDENCE kutulisha sumu, cheo chake nimekikaimu! You should reconsider how you treat me (MATER OF FACT YOU SHOULD CONSIDER HOW YOU TREAT YOUR UNFULLFILLED BUSINESS VENTURES AND HOW YOU MANAGE YOUR DIFFERENT ESTABLISHED EMPIRES) Koho! Koh! Koh! Koh! This caugh is killing me!
 
Back
Top Bottom