Wanawake muwe mnavaa nguo za ndani

Wanawake muwe mnavaa nguo za ndani

Mkuu umeipitia vyema hilo neno la mwisho,na ukajiridhisha kuwa ndo ulichokusudia kuandika hicho?
Mkuu nimejaribu tuu lugha ya mtume, ni neno linaloashiria katazo la juu kabisa kwa kitu fulani. Jamaa amedinda kanisani hyo sio sahihi.
 
Abdala kichwa wazi hakupata shida mkuu.Ongera ulifaidi kuona ule mfereji
 
Naona una shida kidogo. Kanisani hatuendi kupima shape za watu. Next time kaa mbele kabisa na pia uwe wa mwanzo kutoka. Hutayaona hayo makitu
 
Hata mnapoenda kanisani jaribuni kuvaa nguo za ndani dada zangu, mnamwaga radhi bila kujitambua.

Jana nilikuwa kanisani, dawati la mbele yangu walikaa wadada watatu.

Ulipofika wakati wa mahubiri, wote tukiwa tumekaa, mmoja wa wale wadada waliokaa mbele yangu akainama kama analalia magoti.

Kumbe sketi aliovaa ilikuwa imeshuka na tisheti yake ikajivuta kwa juu.

Ilikuwa kasheshe, bahati mbaya kabisa, pembeni ya sehemu niliyokaa kulikuwa na watoto na nyuma yangu zaidi kulikuwa na watu wazima walioona hiyo kadhia.

Mbaya sana kwakweli..
hadith yako inatufundisha nini? maana hata sijaelewa uliona nini funguka bhana au tupia kapicha story yako itanoga sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom