kanisani siyo msikitini,hakuna fomula kwamba nani ni nani na akae wapiKwanini unakaa upande wa wanawake kanisani? una shida ya kijinsia?
Kanisani Unaanzaje kwenda bila chupi!!! Ndo Nakumbuka kwenye msafara wa mamba na kenge wamo!!!
Labda malaika lkn binadam ninaowaham mm hakuna wakushindwa kulisha macho chakulaAahh nawe ulienda mbali sasa mkuu mpaka ukaona na shepu?siku nyingine ikitokea vile unatakiwa ufumbe macho na kuanza kukemea..
Hapa tatizo si chupi, ni suala la kujistiri kwa mavazi yenye stara. Hata kama hujavaa chupi haitaweza kujulikana.Kanisani Unaanzaje kwenda bila chupi!!! Ndo Nakumbuka kwenye msafara wa mamba na kenge wamo!!!
Km nakuona iv ukiwa nyumbanHuyo nae alizidi loh!!! Mi nikiwaga home ndo sivaagi tu nikitaka kutoka natupia
MmmmhNi kiasi cha kuamua tu Sakayo, bi dada kaamua kuvaa gauni lake refu na kutaka papuchi iwe huru hivyo kutotupia picchu.
Washauriwe vipi kwani wao vipofu? Ina maana hawawaoni masista wanavyovaa na nywele zao wanazistiri na vilemba?Washaurini wavae hijab halafu kanisa litenge sehemu ya wanawake na wanaume![]()
Mmmmh
Kanisani, alitaka kugundua nini
Kanisa gani halina formula ya ukaaji?kanisani siyo msikitini,hakuna fomula kwamba nani ni nani na akae wapi
SAWAjoto buana....!!!
Ikitokea hiyo kitu concentration yote inapotea, unawaza mengine kabisa.Mtu akivaa chupi au boksa inaonekana kabisa. Au hata angevaa bikini ule mstari ungeonekana kiunoni.
Ila wa jana hakuvaa kitu kabisa. Karibia ya nusu ya kalio linaonekana.
wanasema ni afadhali kuwa bar unawaza kanisani kuliko kuwa kanisani unawaza barbadala ya kusali unaangalia matako ya wanawake..bora ungelala tu nyumbani