Wanawake muwe mnavaa nguo za ndani

Wanawake muwe mnavaa nguo za ndani

Hivi kwa ibada kama za gwajima hata mtu akipita uchi unaweza kumwona kwel
 
Hata mnapoenda kanisani jaribuni kuvaa nguo za ndani dada zangu, mnamwaga radhi bila kujitambua.

Jana nilikuwa kanisani, dawati la mbele yangu walikaa wadada watatu.

Ulipofika wakati wa mahubiri, wote tukiwa tumekaa, mmoja wa wale wadada waliokaa mbele yangu akainama kama analalia magoti.

Kumbe sketi aliovaa ilikuwa imeshuka na tisheti yake ikajivuta kwa juu.

Ilikuwa kasheshe, bahati mbaya kabisa, pembeni ya sehemu niliyokaa kulikuwa na watoto na nyuma yangu zaidi kulikuwa na watu wazima walioona hiyo kadhia.

Mbaya sana kwakweli..
Ndo ujue kwamba hata shetani nae anaendaga kwenye nyumba za ibada..
 
Napata picha angepagawa mapepo ingekuaje!Shetani hana adabu kabisa hadi nyumba za ibada amevamia.
 
Kwanini unakaa upande wa wanawake kanisani? una shida ya kijinsia?
Hakuna upande wa wanawake kanisani bhana.
Huo Mfumo dume.
Kwani mliooa mkienda kanisani mnatengana???

Si Nyie ni mwili mmoja sasa upande wa wanawake vipi tena.

Chá msingi wanawake tuvae Chupi bhana.

Nasisi wanaume kanisani tuvae boksa siyo tunadlilishana na marungu yakinyanyuka yanaonekana kila kona
 
Sipendi hii kitu,wanatukwaza sana hawa,mie ndio maana sikuhizi nikiingia church nakaa pembeni kabisa upande wa madirisha,maana usipoangalia mpaka misa inaisha hakuna uliloambulia,Mshindwe kabisa...
 
Sipendi hii kitu,wanatukwaza sana hawa,mie ndio maana sikuhizi nikiingia church nakaa pembeni kabisa upande wa madirisha,maana usipoangalia mpaka misa inaisha hakuna uliloambulia,Mshindwe kabisa...
Au ukae mbele kabisa yaani viti vya mwanzo kabisa
 
Hata mnapoenda kanisani jaribuni kuvaa nguo za ndani dada zangu, mnamwaga radhi bila kujitambua.

Jana nilikuwa kanisani, dawati la mbele yangu walikaa wadada watatu.

Ulipofika wakati wa mahubiri, wote tukiwa tumekaa, mmoja wa wale wadada waliokaa mbele yangu akainama kama analalia magoti.

Kumbe sketi aliovaa ilikuwa imeshuka na tisheti yake ikajivuta kwa juu.

Ilikuwa kasheshe, bahati mbaya kabisa, pembeni ya sehemu niliyokaa kulikuwa na watoto na nyuma yangu zaidi kulikuwa na watu wazima walioona hiyo kadhia.

Mbaya sana kwakweli..
Hebu malizia maana umeikata hii habari afu tupia kapicha tuone eee buana..
 
Sie ambao hatuendi kanisani tushaepuka dhahama hizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom