Silipend kabisa ilo vazi
Kama mie sipendi kuvaa nguo za ndani napenda za nje tuSie ambao hatuendi kanisani tushaepuka dhahama hizo.
AiseeKama mie sipendi kuvaa nguo za ndani napenda za nje tu
Hukufanikiwa kuchukua hata namba kwa ajili ya mawasiliano??Mwenyewe nilikaa pembeni kabisa, kwenye dirisha.
Wanaume tuna majaribu mno, halafu ana shepu nzuri sana msichana yule.
Tena mme mwema !!!!Si mume anapatikana kanisani mnasema?
MKUU WASHINDWE MFULULIZO TENA. WANATUTENGANISHA NA EDEN HAO.Sipendi hii kitu,wanatukwaza sana hawa,mie ndio maana sikuhizi nikiingia church nakaa pembeni kabisa upande wa madirisha,maana usipoangalia mpaka misa inaisha hakuna uliloambulia,Mshindwe kabisa...
WAKUU WA MAKANISA WAO WANAWINDA SADAKA. IDADI YA WAUMINI NDIO PARAMETER MUHIMU. TAKE IT EASYHaya mambo ya akinadada kwenda namavazi yao ya kihasalahasala kanisani hivi si vishawishi bali hii ni laana wanayo peleka makanisan lamsingi wakuu wa makanisa hili swala wasiwe wanalifumbia macho wawe wanawaeleza ila cha ajabu baadhi ya makanisa unakuta wahubiri wanayo yahubiri juu ya wanaweke wano vaa hivi Eti Mungu haangalii Mavazi anaangalia mioyo yenu, Uyo mungu aneangalia mioyo yenu huku wengine Mna mflamia sijuw ni Mungu yupi
Wapi ameandika sket kupanda???Sket ilivyopanda ukajua hajavaa chupi?!