Wanawake muwe mnavaa nguo za ndani

Wanawake muwe mnavaa nguo za ndani

Mwenyewe nilikaa pembeni kabisa, kwenye dirisha.

Wanaume tuna majaribu mno, halafu ana shepu nzuri sana msichana yule.
Nadhani hata mahubiri hukuyasikia sababu ya shape nzuri uliyoona
 
badala ya kusali unaangalia matako ya wanawake..bora ungelala tu nyumbani

Kwani wakati natoka nyumbani nilipanga kwenda kuangalia matako ya wanawake?

Na wewe ukitoka nyumbani ukafika njiani ukaona mtu amekaa uchi, unakuwa umepanga kwenda kuangalia walio uchi.?
 
hahahahahahaaaaaaa,,,,,jamaa hawa viumbe wao wala hawana shida......ni kuwa kwepa tuu.....ungehama pale au ungetafuta mwanamama ntu mzima aseme nae..........si wajua mapepo huwa yanajipenyenza kwenye ibada.....

Siamini kwenye mapepo.
 
Kwahyo unataka kutuambia kuwa ulidindisha dushe kanisani mkuu.

Hapana sikudindisha mkuu.

Ila nilijisikia vibaya kwa ajili ya wale watoto waliokuwa wanatumbua macho yao kuangalia lile kalio.
 
Pole sana, ila ndipo tulipofikia, hata sehemu za imani ni biashara kwa kwenda mbele, hajasahau wala nini, alidhamiria na kukusudua kabisa...
 
Hata mnapoenda kanisani jaribuni kuvaa nguo za ndani dada zangu, mnamwaga radhi bila kujitambua.

Jana nilikuwa kanisani, dawati la mbele yangu walikaa wadada watatu.

Ulipofika wakati wa mahubiri, wote tukiwa tumekaa, mmoja wa wale wadada waliokaa mbele yangu akainama kama analalia magoti.

Kumbe sketi aliovaa ilikuwa imeshuka na tisheti yake ikajivuta kwa juu.

Ilikuwa kasheshe, bahati mbaya kabisa, pembeni ya sehemu niliyokaa kulikuwa na watoto na nyuma yangu zaidi kulikuwa na watu wazima walioona hiyo kadhia.

Mbaya sana kwakweli..
Ulijisikiaje sema ukweli kabisa
 
Mi nikionaga nyuzi za hivi huwa sisomi nakimbilia kuangalia picha tu..kama haipo nakuwa mvivu ata kuisoma
 
Nikishinda kwa nyumba sivaagi kufuli Mimi, nahitaji kupata hewa,
Sipendi kuvaa kufuli napenda hewa ipite
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom