Wanawake muwe mnavaa nguo za ndani

Wanawake muwe mnavaa nguo za ndani

Kwa hiyo kalio nono la huyo dada lilikuchanganya sana'e?
Kitu chochote kilicho nje ya nafsi yako chukulia kama object.
Unaoneshwa kujaribiwa imani yako. Unapolaani watu, maana yake unahukumu na mwenye mamlaka ya kuhukumu anajulikana. Ukiendeleza utamaduni wa kuwekeza macho yako kwa wanawake uelewe kuwa hakuna lolote utakalokuwa unalifuata kanisani hapo zaidi ya kutaka kuonekana umeenda kusali.
Kushinda majaribu ni kushinda vishawishi kama hivyo sasa, bila kujali unakumbana navyo wapi, kwa kuwa kanisa ni jengo kama jengo jingine lolote ambamo vinaweza kupatikana vishawishi vya kila sampuri, ikiwemo wizi wa sadaka za waumini.
 
Ila ni wazi kuwa kuna tatizo la uvaaji Siku hizi makanisani na mtaani, tena Siku hizi Hata wachungaji walio wengi hawakemei tena hii kitu ya kuto Kuvaa Kwa staha, labda ndo kusema hawakemei Kwa hofu ya kupoteza waumini ambao pengine ndo watoa sadaka Nono ?! Yani ni aibu kubwa Kwa wakristo kushindwa kujistiri, Yale maandiko yanayohusu hii mada hayasomwi tena makanisani yaliyo mengi Siku hizi Hata hayo uanajiita ya Kilokole , inashangaza na kusikitisha sana! Wachungaji mjue mtakuja kuulizwa na pengine kuja kuwa held responsible shauri yenu nyie endekezeni sadaka tu! Maandiko yanayohusu sadaka Ndiyo yaliyo tamalaki Kwenye makanisa mengi Siku hizi lakini siyo ya kukemea uvaaji mbaya!
 
Unakuta Mdada anaongoza sifa na kuabudu lakini kavaa kisketi kiko Juu ya magoti akikaa Kwenye kiti kinapanda hadi mapajani na hakuna wa kumkemea hamjui wengine wataiga mfano mbaya? Halafu saingine huyo ni mtoto wa Mchungaji !
 
Ila naomba ni washauri wanaume hebu jaribuni kubadilisha mitazamo yaani mind set zenu Juu ya kutamani waenda uchi, kwanini msiwapuuze na kuwadharau na kuchukulia kuwa Mwanamke mwenda uchi ni mhuni tu Kama siyo Malaya? Jaribuni kuwa na kinyaa na Watu wa namna hiyo itawasaidia sana kutowatoa Kwenye kuzingatia ibada na popote pale Hata Ofisini mtaani n.k! Imeandikwa amtazamae Mwanamke na kumtamani amekwisha zini naye Moyoni , sasa mtazini na wangapi? Halafu niwaulize hivi dada yako Au mama yako Au Binti yako akivaa uchi naye utamtamani? Ndo maana nasema badilisheni mind set zenu ili muweze kuwa salama Siku zote!
 
Picha basi mbaba

Na bora muwe mnsema wenyewe wangesema wale wengine mipovu ingemwagika hapa
 
watu bana,eti wanaomba picha na ilhali jamaa angem-snap huyo dada halafu akatupia hapa,hawa hawa ndo wangekuja kumlaani na kusema amemdhalilisha mdada wa watu ni bora tu angetizama tu bila kumpiga picha...

Hivi nyie mnaoomba picha kwenye uzi huu mnafikiria sawa sawa kweli au just mnafurahisha genge tu!
 
Sipendi hii kitu,wanatukwaza sana hawa,mie ndio maana sikuhizi nikiingia church nakaa pembeni kabisa upande wa madirisha,maana usipoangalia mpaka misa inaisha hakuna uliloambulia,Mshindwe kabisa...
Ndo muwaoe sasa ili watulie na kuvaa chupi
 
Ila naomba ni washauri wanaume hebu jaribuni kubadilisha mitazamo yaani mind set zenu Juu ya kutamani waenda uchi, kwanini msiwapuuze na kuwadharau na kuchukulia kuwa Mwanamke mwenda uchi ni mhuni tu Kama siyo Malaya? Jaribuni kuwa na kinyaa na Watu wa namna hiyo itawasaidia sana kutowatoa Kwenye kuzingatia ibada na popote pale Hata Ofisini mtaani n.k! Imeandikwa amtazamae Mwanamke na kumtamani amekwisha zini naye Moyoni , sasa mtazini na wangapi? Halafu niwaulize hivi dada yako Au mama yako Au Binti yako akivaa uchi naye utamtamani? Ndo maana nasema badilisheni mind set zenu ili muweze kuwa salama Siku zote!
wewe unaweza kubadili mtizamo mtoto wa jirani ukamuona na kumhudumia kama mtoto wako wa kuzaa bila ubaguzi wa aina yoyote?
 
Hata mnapoenda kanisani jaribuni kuvaa nguo za ndani dada zangu, mnamwaga radhi bila kujitambua.

Jana nilikuwa kanisani, dawati la mbele yangu walikaa wadada watatu.

Ulipofika wakati wa mahubiri, wote tukiwa tumekaa, mmoja wa wale wadada waliokaa mbele yangu akainama kama analalia magoti.

Kumbe sketi aliovaa ilikuwa imeshuka na tisheti yake ikajivuta kwa juu.

Ilikuwa kasheshe, bahati mbaya kabisa, pembeni ya sehemu niliyokaa kulikuwa na watoto na nyuma yangu zaidi kulikuwa na watu wazima walioona hiyo kadhia.

Mbaya sana kwakweli..

ingekuwa umeenda kwa nia ya kusali kwelikweli usingeyaona hayo yote.
 
Hata mnapoenda kanisani jaribuni kuvaa nguo za ndani dada zangu, mnamwaga radhi bila kujitambua.

Jana nilikuwa kanisani, dawati la mbele yangu walikaa wadada watatu.

Ulipofika wakati wa mahubiri, wote tukiwa tumekaa, mmoja wa wale wadada waliokaa mbele yangu akainama kama analalia magoti.

Kumbe sketi aliovaa ilikuwa imeshuka na tisheti yake ikajivuta kwa juu.

Ilikuwa kasheshe, bahati mbaya kabisa, pembeni ya sehemu niliyokaa kulikuwa na watoto na nyuma yangu zaidi kulikuwa na watu wazima walioona hiyo kadhia.

Mbaya sana kwakweli..
Kwahiyo ulidindisha? sasa wakati wa sadaka uliamkaje na mdindo wako?
 
Wanawake wanaoenda kanisani na mavazi yasiyo na staha washindwe kabisa, wamekosa adabu na heshima yao ni ndogo sana.
kama ni dar mbona wengi tu hawavai pichu, na joto lote hilo wanasema yakazi gani papachu ziingie fangazi? tena wakuta mdada ana neema za alah kisha kavalia dera na ndani hana pichu hapo sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom