Huyo nae alizidi loh!!! Mi nikiwaga home ndo sivaagi tu nikitaka kutoka natupiaHasa kanisani, kwingine sina shida.
no pls, sasa tutafaidije? hata mtoa hoja naamini hicho kitendo kilimfurahisha, endeleeni tu.Sawa tutajirekebisha
no pls, sasa tutafaidije? hata mtoa hoja naamini hicho kitendo kilimfurahisha, endeleeni tu.

hahahahahahaaaaaaa,,,,,jamaa hawa viumbe wao wala hawana shida......ni kuwa kwepa tuu.....ungehama pale au ungetafuta mwanamama ntu mzima aseme nae..........si wajua mapepo huwa yanajipenyenza kwenye ibada.....Mwenyewe nilikaa pembeni kabisa, kwenye dirisha.
Wanaume tuna majaribu mno, halafu ana shepu nzuri sana msichana yule.
badala ya kusali unaangalia matako ya wanawake..bora ungelala tu nyumbaniMtu akivaa chupi au boksa inaonekana kabisa. Au hata angevaa bikini ule mstari ungeonekana kiunoni.
Ila wa jana hakuvaa kitu kabisa. Karibia ya nusu ya kalio linaonekana.
Mkuu umeipitia vyema hilo neno la mwisho,na ukajiridhisha kuwa ndo ulichokusudia kuandika hicho?Mbele ya paroko, astakafudhidhai.

Jicho halina pazia...!na lazima jamaa alidindisha c mchezo maana kiumbe cha kike ukiona paja tu au wakati mwengine alama za chupi tu zikiwa kwenye nguo laini unaanza kuweweseka sasa ckuambii ukiona matako live.badala ya kusali unaangalia matako ya wanawake..bora ungelala tu nyumbani