Wanawake mnataka nini hasa?

Wanawake mnataka nini hasa?

Wanawake wanapenda wanaume waliokamilika. Wanaume Halisi.
Sasa hapo kwenye wanaume Halisi ndio kila Mwanamke anatype yake.

Mwanamke hahitaji ukweli wowote endapo unamuumiza
Mwanamke hataki kuumia.

Uongo wenye faida ni Bora kuliko ukweli unaoumiza, Kwa hawa viumbe waitwao Wanawake.

Kama hujakomaa Kiakili Wanawake Achana nao. Fanya mambo mengine.
Wanawake wapo kwaajili ya wanaume thabiti waliokomaa
Basi kina uttoh2002 na king kong III wenye sura ngumu zilizokomaa ndo wanawezana na wanawake.
 
Wanawake wanapenda wanaume waliokamilika. Wanaume Halisi.
Sasa hapo kwenye wanaume Halisi ndio kila Mwanamke anatype yake.

Mwanamke hahitaji ukweli wowote endapo unamuumiza
Mwanamke hataki kuumia.

Uongo wenye faida ni Bora kuliko ukweli unaoumiza, Kwa hawa viumbe waitwao Wanawake.

Kama hujakomaa Kiakili Wanawake Achana nao. Fanya mambo mengine.
Wanawake wapo kwaajili ya wanaume thabiti waliokomaa
Dkt.Robert ameshatoa nondo zake sasa namkaribisha Carlos The Jackal aongeze yake.
 
Wanawake huwa wanjua udhaifu wako mapema sana since day one, coz wao wanatumia hisia sana zaidi yetu nikupe mfano mdogo, kukuletea drama Ni kutaka ku-confirm tuu.

Mwanamke anaweza kujua kuwa Kuna mwanamke mwenzie anakupenda kabla ya wewe kujua katika jamii.

Chunga sana usieleweke.
Screenshot_20230311-213154.png

Asieleweke kama haka kajamaa, hatujui ni ka-superman au nini
 
Mara zote Mwanamke ukimwambia ukweli anadhani ni uongo ukimwambia uongo anadhani ni ukweli,ushauri wa bure ongopa kadri unavyoweza ila usisahau tu ulimdanganya nini jana juzi na mtondogoo hiyo ndio wanaume tunazingatia
 
Mimi nashindwa kabisa kuwaelewa wanawake kipi wanakitaka hasa katika haya maisha

Ukijaribu kumuambia ukweli unampoteza yaani anakuacha​

Ukimdanganya anasema apendi wanaume waongo​

Kipi kwenu sahihi mnapenda kusikia au mnataka tufake?

Sisi wanaume wengi mioyo yetu myepesi sana yaani raisi kupenda kiufupi mapenzi yanatufanya tuwe dhaifu licha ya kuwa na mdom kama manara ikifika swala la mapenzi ukali unaisha
Kuna mmoja nilimueleza ukweli ndo akapeperuka.

Lakini huwa wanataka wanachokitafuta na huwa wanakitafuta kila siku hata wakikipata bado wanataka watakachokitafuta huko mbeleni
 
Kipi iko
 
Wanawake wanapenda wanaume waliokamilika. Wanaume Halisi.
Sasa hapo kwenye wanaume Halisi ndio kila Mwanamke anatype yake.

Mwanamke hahitaji ukweli wowote endapo unamuumiza
Mwanamke hataki kuumia.

Uongo wenye faida ni Bora kuliko ukweli unaoumiza, Kwa hawa viumbe waitwao Wanawake.

Kama hujakomaa Kiakili Wanawake Achana nao. Fanya mambo mengine.
Wanawake wapo kwaajili ya wanaume thabiti waliokomaa
Duh kwahiyo sijakomaa
 
Back
Top Bottom