Wanawake mnataka nini hasa?

Wanawake mnataka nini hasa?

Neediness; the most unattractive trait that leads to failure..

Huitaji kukimbiza mwizi, badala yake, nunua vitu vitakavyomvutia mwizi aje kukuibia. Simple.
Kama vip
 
Tatizo lako unaaamini ukweli ni umasikini wako. Sasa tangu lini ukimuambia kuwa wewe una hela kama kweli unazo akakuacha? Sasa wewe umesema ukweli kuwa huna hela , yaani ni masikin halafu unalazimisha mle umasikini wako na mtoto wa mtu?
 
😂😂😂😂 sasa pesa sio za kutoa toa ovyo
 
Tatizo lako unaaamini ukweli ni umasikini wako. Sasa tangu lini ukimuambia kuwa wewe una hela kama kweli unazo akakuacha? Sasa wewe umesema ukweli kuwa huna hela , yaani ni masikin halafu unalazimisha mle umasikini wako na mtoto wa mtu?
Hizi ndio hesabu kali kwelikweli
 
Marinda au milinda nyeusi?
marinda.....
Sema ushauri wangu serious kama mtu aliyepigwa tukio miaka ya nyuma hadi nikadondosha chozi.... Achana na mapenzi, mapenzi mpaka kwenye ndoa....

Chakata mbussu ila mambo ya 'i will die for you' sijui 'ride or die' acha kabisa
 
Back
Top Bottom