nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,199
- 6,890
Hii kitu ni mbaya sana kwa wanawake, kwa ufupi nimegundua ndoa nyingi zina mifarakano mikubwa na wenza wengi wanaishi ili siku zisonge tu.
Hisia na kujaliana kwa wenza wengi hakupo tena, wanaume wengi pia hawajali kuhusu kujua ratiba za wake zao zipo vipi.
Mwisho kabisa niwaase wana ndoa kama mmeshindwana na mmeona hamuwezi kumaliza tofouti zenu ni vyema mkatalakiana ili kila mmoja awe huru.
Hii puuza puuza na kuyachukulia mambo juu juu ndio mwisho wake hupelekea vipigo ambavyo hupelekea vifo kwa akina dada ama kuambukizana magonjwa sugu ya zinaa ambayo hayana tiba.