Wanawake Malawi watishia kuandamana uchi

Wanawake Malawi watishia kuandamana uchi

Hahahaha. . .
Unataka nikunyanyase vipi sasa? Maana kuna kimwili, kiakili na kihisia.

Mwanamke kumyanyasa mwanaume kihisia? Naupenda huo unyanyasaji.
 
Hhhm bado ingekua mbaya maana kuna watazamaji. . .

Maandamano yaliyoandaliwa na wanawake wa Malawi Ijumaa yataenda kwa jina "Today I buy from you, tomorrow you undress me?"
 
Maandamano yaliyoandaliwa na wanawake wa Malawi Ijumaa yataenda kwa jina "Today I buy from you, tomorrow you undress me?"

Hahahaha. . . Smart.
Kama hawataki wavae ,waache kuuza.
 
Kazi kweli kweli, mfumo dume tu huu...mbona wao wanavaa suruali chini ya ******, si tungewavua kabisa??

Halafu hawa wabaya,mbona kama wamemvua na chupi?? Wanaume wengine wana mihemko yao tu na vitu vinasumbua kwenye pants basi wanaamua kumalizia kwa kina dada....ila watembee na khanga,kama vipi unachomoa khanga yako,ujisetiri!
 
Inabidi muwe mnawavua pia. Mkiwakuta tuu wamevaa chini ya ****** mnawavua. Halafu nao watapinga kwa kuandamana uchi.
 
Na wanaume nao wakiamua kutembea uchi siku hiyo si mambo yatakuwa 'ngoma inogile'?!
 
Huyo mama anatia huruma! Yaani wamemvua nguo zote. Kudadadeeki. Eniwei, alistahili. She should have known when, where, and what to wear lol!!!

Just blame the victim and keep it moving.
 
Halafu huu unyanyaswaji wa wanawake umenikumbusha mambo ya "honor killings" ambapo wahanga kwa kiasi kikubwa sana huwa ni wanawake na wasichana.

Kuna mdada niliwahi kumuona anahojiwa BBC akiunga mkono huo unyama. So go figure!
 
Huyo mama anatia huruma! Yaani wamemvua nguo zote. Kudadadeeki. Eniwei, alistahili. She should have known when, where, and what to wear lol!!!

Just blame the victim and keep it moving.

Tulaumu mfumo dume.
 
Tulaumu mfumo dume.

Kulaumu mfumo dume hakuuondoi mfumo dume. Tatizo ni nyinyi mademu mko weak katika kila nyanja. Kwa kama kuna cha kulaumu ni hiyo weakness yenu iliyo embedded katika DNA.
 
Back
Top Bottom