Wanawake acheni roho mbaya

Wanawake acheni roho mbaya

yule jamaa atakuwa chizi sababu kaingia kwenye gari tu kaanza kuongea baada ya salamu ya tumsifu Yesu kristo. imagine kipato cha polisi usomeshe mtu ukijua manakuja kusaidiana maishani halafu anakupiga chini duh ngumu sana
Pole zake.

Tatizo nyie sijui mkoje Mkuu.

Hamna uaminifu hata kidogo.
 
Kama mimi nikiona pesa huwa naweweseka aisee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hata yeye anaweweseka akiona pesa

Au ndiyo wewe uliyenikimbia Mkuu.

Maana naona kama mwandiko unafana kwa mbali na aliye nikimbia
 
wanawake wamejaa kwasasa acha kulalama ukisimama barabarani tu unakamata yeyote yule

Wamejaa ndiyo mkuu lakini siyo namba 8 kama aliyemtema mleta mada. mtoto mrembo zaid ya hamisa mobeto[ emoji 17]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hata yeye anaweweseka akiona pesa

Au ndiyo wewe uliyenikimbia Mkuu.

Maana naona kama mwandiko unafana kwa mbali na aliye nikimbia
ningekuwa nimeanza kazi juzi labda iingekuwa ni mimi... labda tunashea baba teh pole aisee.... pesa issue ingine
 
Siku hizi mnafanyaje vijana? enzi zetu ilikua ni process ndefu sana kumpata mwanamke, ndo mana ilikua ukimpoteza unatamani ujiue. Unakuta kumtafuta ni miezi 2, kumtongoza miezi 6 - 12, jibu miezi 2 - 4, kupewa tunda mwaka 1 - 2, kwahiyo unajikuta ukimpoteza mpenzi ujue utakaa zaidi ya mwaka au miaka 2 ndo uje kupata penzi.Ndo mana wengi mnakuta tulikua hatuachani japo tulikua tunakoseana sana.
Siku hz syo hvo,ukiwa na gheto zuri na hela ya kubadilishia mboga na pamba 5,utawakimbia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom