Wanawake acheni roho mbaya

Wanawake acheni roho mbaya

Nikwambie tu pole
Tena shukuru kaondoka mapema kabla hajakutia hasara zaidi.
Halafu miezi miwili tu mshaanza mipango ya maisha?acha utani we we.
Unatakiwa umjue mtu vizuri atlest baada ya six months ndo uanze kupanga nae hivyo mtakavyovipanga.
Wanawake wa sasa hivi huwezi kutana nae leo kesho unapanga future utaibiwa labda ubahatishe.
Umenena vilivyo...feitty!

Nashukuru kwa hilo.
 
Hujui wanawake kwa sababu wanakuzuzua
Wanawake wengi ukimkosea ( kumsaliti/kutomjali) atakuvumilia huku anatafuta atakaye take over taratiiibu ( yaani anakuwa na kinyongo ingawa wewe unajua yamekwisha) wakati wewe unatulia mwenzio anang'oa nanga fasta unabaki kwenye mataa
 
Hujui wanawake kwa sababu wanakuzuzua
Wanawake wengi ukimkosea ( kumsaliti/kutomjali) atakuvumilia huku anatafuta atakaye take over taratiiibu ( yaani anakuwa na kinyongo ingawa wewe unajua yamekwisha) wakati wewe unatulia mwenzio anang'oa nanga fasta unabaki kwenye mataa
Duuuh!

Wanawake wengine hawana maana kabisa hata uwajali vipi hawaridhiki.

Akiamua atakukimbia tu
 
Huyu alikuwa hakupendi tangu hapo awali ila ugumu wa maisha ndio uliosababisha umugegete kirahisi hivo....! Naomba ujifunze.
 
Dah... joshydama wapi huko ulipo kwenye mwanamke mmoja tu?[emoji13] [emoji13]
 
Heshima yenu humu ndani wakuu.

Wanawake kwa nini mnakuwa na roho mbaya hivyo?

Inakuwaje unamletea visa mtu ambaye mlikuwa mnapendana ambaye mlipanga mambo mbalimbali ya kimaisha?

Mtu ambaye amekusaidia mbalimbali leo hii unamuona hafai. Kweli Wanawake ni viumbe ajabu sana.

Huwa wanaficha makucha wanapokuwa wanahitaji kitu fulani kwa wakati fulani.Pindi apatapo hicho kitu ghafla utaona anabadilika mpaka unajikuta na wewe unajishangaa mara mbili mbili.

Miezi kama miwili iliyopita nilikutana na mrembo na ana kila sifa ya kuitwa mwanamke. Mwenye umbo namba 8 umbo hatari sana.

Basi tukawa tumependana na kuwa na mipango mingi tu ingawa yeye alikuwa hana kazi yoyote. Kitu cha kwanza nikamsaidia akapata kazi kwenye kampuni moja hapa mjini kwa mshahara wa laki 4 tu.

Baada ya kupata hiyo kazi nimeshangaa ghafla amebadilika sana. Simu nikipiga hapokei na akipokea anatoa sababu za kijinga sana. Kama mjuavyo huwezi ukaacha kujipa matumaini kimtindo kuwa umpendae atakuwa poa tu huenda kuna kitu kinamsumbua.

Leo nmeangalia kwenye whatsApp ameniblock na nikipiga simu haipatikani so nashindwa sijui nifanyeje. Nikajaribu kumcheki kwa namba mpya hakupokea ikabidi nimtumie Meseji ya kumuuliza kama amepata hela niliyomtumia kiasi cha laki moja.

Baada ya dakika mbili akipiga akinieleza kuwa hajapokea hapo hapo nikamchana ukweli kuwa una ongea na Fulani( nikataja jina langu) kabla sijamaliza kutaja jina simu ikakatwa.

Mpaka muda huu hakuna simu inayopokelewa tena wala sijibiwa Meseji.Hivyo nimelidhika na matokeo maisha yanasonga kimtindo.

Mfariji wangu wa karibu kwa sasa ni movie. Hakuna namna nyingine.

Nawashauri Wanawake kama haumtaki mtu mwambie ukweli ajue siyo kuigiza kuwa unapenda kumbe uko pale tu kwa manufaa yako binafsi.

Ahsanteni.


ukimpata mwanamke jitahidi umvue chupi mapema,,tena mara nyingi baba
 
Dah... joshydama wapi huko ulipo kwenye mwanamke mmoja tu?[emoji13] [emoji13]
Hahahah

Nina type zangu ambazo huwa napenda mkuu. So huwa inachukua muda kidogo kuwapata na nikipata huwa natulia nae.

Kama demu hana sifa hizi siwezi mtaka

.Awe na umbo nane mkuu.
.Mrefu
.Awe na rangi Fulani kama ya chocolate.
 
pole mzee mwenzangu ila jifunze kukubari matoke lasivyo wasichana utakuja kuwaelewa.
Hakika Mkuu.

Hapa nimekuja tu kuwakumbusha waache tabia zao za kijinga wataishia kumegwa na kukimbiwa maana wanashobokea watu ambao siyo sahihi na kutuacha sisi ambao tuna nia njema kabisa.
 
Mwanamke kusomeshwa na kutafutiwa kazi ni jukumu la wazazi wake hvy kihere here chako cha kumtafutia kazi kimekuponza "NEVER TRUST WOMEN BROO"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom