Wanawake acheni roho mbaya

Wanawake acheni roho mbaya

we nae mzembe sana.
ulipaswa unampatia kazi haipiti hata mwezi unamjaza mimba ya mapacha wa 4 walau utoke na fidia kidogo (joking)
 
Wanawake wa aina hii dawa yao ipogo tu ila kwakua ulichomsaidia ni kupata kazi tu haiumizi sana tofauti na ungempa mtaji ww
 
Heshima yenu humu ndani wakuu,

Wanawake kwanini mnakuwa na roho mbaya hivyo?

Inakuwaje unamletea visa mtu ambaye mlikuwa mnapendana ambaye mlipanga mambo mbalimbali ya kimaisha?

Mtu ambaye amekusaidia mbalimbali leo hii unamuona hafai. Kweli wanawake ni viumbe ajabu sana.

Huwa wanaficha makucha wanapokuwa wanahitaji kitu fulani kwa wakati fulani. Pindi apatapo hicho kitu ghafla utaona anabadilika mpaka unajikuta na wewe unajishangaa mara mbili mbili.

Miezi kama miwili iliyopita nilikutana na mrembo na ana kila sifa ya kuitwa mwanamke. Mwenye umbo namba 8 umbo hatari sana.

Basi tukawa tumependana na kuwa na mipango mingi tu ingawa yeye alikuwa hana kazi yoyote. Kitu cha kwanza nikamsaidia akapata kazi kwenye kampuni moja hapa mjini kwa mshahara wa laki 4 tu.

Baada ya kupata hiyo kazi nimeshangaa ghafla amebadilika sana. Simu nikipiga hapokei na akipokea anatoa sababu za kijinga sana. Kama mjuavyo huwezi ukaacha kujipa matumaini kimtindo kuwa umpendae atakuwa poa tu huenda kuna kitu kinamsumbua.

Leo nimeangalia kwenye whatsApp ameniblock na nikipiga simu haipatikani so nashindwa sijui nifanyeje. Nikajaribu kumcheki kwa namba mpya hakupokea ikabidi nimtumie Meseji ya kumuuliza kama amepata hela niliyomtumia kiasi cha laki moja.

Baada ya dakika mbili akipiga akinieleza kuwa hajapokea hapo hapo nikamchana ukweli kuwa una ongea na fulani (nikataja jina langu) kabla sijamaliza kutaja jina simu ikakatwa.

Mpaka muda huu hakuna simu inayopokelewa tena wala sijibiwa Meseji. Hivyo nimeridhika na matokeo maisha yanasonga kimtindo.

Mfariji wangu wa karibu kwa sasa ni movie. Hakuna namna nyingine.

Nawashauri wanawake kama haumtaki mtu mwambie ukweli ajue siyo kuigiza kuwa unapenda kumbe uko pale tu kwa manufaa yako binafsi.

Ahsanteni.
Mgegedo ulipata lakini.... Au ndo tatu bila
 
Pole!!!!
Kisu chako kimeisha makali, uwezi kumla tena yeye wala wengine. Ndiyo maana unaishia kulia lia
 
Daa yaani we acha tuu,ukiwa mkweli shida,ukiwa muongo shida,ukiwa naroho ya huruma shida,ukiwa kauzu taabu
 
Kunasiku atakupigia simu nakukuambia umsamehe kwani ni shetani tu alimpitia.....muda huo anakuomba umtumie buku 6 amnunulie mtoto wake dawa ya kikohozi.....Pole sana brother vitu vya kawaida sana endelea kula movie tu hakuna namna......

Angalizo: Usiangalie sana zile movie wanazopigana bila nguo usije ishia cheza na kiganja. .....kidding
 
Poleni mliolizwa ila sasa he nyie hamjavunja mioyo ya wanawake wengine wakawatolea machozi yao?je mliwahi kutubu?wacha nanyi mnyooshwe kidogo malipo duniani
 
Kuna baadhi ya wanawake wanawachafua wenzao ndiyo maana kwa sasa hawaminiki ktk jamii.
Wapo wenye upendo na wasio na upendo sasa hawa wasio na upendo ndiyo wanaoharibia wenzio.
Usiombe mwanaume ukamchanganya maana revenge yake siyo ya mchezo.
Ndiyo maana sasa hiv utakuta wanawake single mothers wengi, waliotelekezwa wengi, ndiyo wanalia hakuna waoaji, wanaliwa tigo n.k
Hii yote ni kwa sbb baadhi yenu suala la upendo meliweka pembeni.
Najua huyu mtoa uzi maumivu yakipungua hapa, vurugu atakayoifanya lazima wanawake walie na kujuta
na baadhi ya wengine kuwachukia wanaume km yule Miss Natafuta. mwisho wa siku wanaanza kujifariji kuwa wanaweza kuishi bila ya mwanaume.
Ngoja tuone maana km hawataki kupendwa suluhu ni moja tu Kula na kusepa
Mimi binafsi kwa nilichowahi kufanyiwa kiukweli sintokuja kupenda leo au kesho labda itokee km ajari.

Sababu nimoja tu,siwezi tena kumuamini mwanamke.
 
Hujui wanawake kwa sababu wanakuzuzua
Wanawake wengi ukimkosea ( kumsaliti/kutomjali) atakuvumilia huku anatafuta atakaye take over taratiiibu ( yaani anakuwa na kinyongo ingawa wewe unajua yamekwisha) wakati wewe unatulia mwenzio anang'oa nanga fasta unabaki kwenye mataa
Wanawake wengine hata umpende,umjali kama malaika hamna kitu.

Mimi binafsi kamwe siwezi kupenda tena hawa viumbe,napiga nasepa tu.Kama kupenda nilishapenda nilichoambulia nimaumivu ya hatari tu.

Kamwe sintojaribu tena kuingia kwa miguu miwili kwa binti,hata mke wangu sintokuja kumpenda kwa moyo wote.Hawa ingawa nimama zetu lakini hawana shukurani kabisa.
 
Heshima yenu humu ndani wakuu,

Wanawake kwanini mnakuwa na roho mbaya hivyo?

Inakuwaje unamletea visa mtu ambaye mlikuwa mnapendana ambaye mlipanga mambo mbalimbali ya kimaisha?

Mtu ambaye amekusaidia mbalimbali leo hii unamuona hafai. Kweli wanawake ni viumbe ajabu sana.

Huwa wanaficha makucha wanapokuwa wanahitaji kitu fulani kwa wakati fulani. Pindi apatapo hicho kitu ghafla utaona anabadilika mpaka unajikuta na wewe unajishangaa mara mbili mbili.

Miezi kama miwili iliyopita nilikutana na mrembo na ana kila sifa ya kuitwa mwanamke. Mwenye umbo namba 8 umbo hatari sana.

Basi tukawa tumependana na kuwa na mipango mingi tu ingawa yeye alikuwa hana kazi yoyote. Kitu cha kwanza nikamsaidia akapata kazi kwenye kampuni moja hapa mjini kwa mshahara wa laki 4 tu.

Baada ya kupata hiyo kazi nimeshangaa ghafla amebadilika sana. Simu nikipiga hapokei na akipokea anatoa sababu za kijinga sana. Kama mjuavyo huwezi ukaacha kujipa matumaini kimtindo kuwa umpendae atakuwa poa tu huenda kuna kitu kinamsumbua.

Leo nimeangalia kwenye whatsApp ameniblock na nikipiga simu haipatikani so nashindwa sijui nifanyeje. Nikajaribu kumcheki kwa namba mpya hakupokea ikabidi nimtumie Meseji ya kumuuliza kama amepata hela niliyomtumia kiasi cha laki moja.

Baada ya dakika mbili akipiga akinieleza kuwa hajapokea hapo hapo nikamchana ukweli kuwa una ongea na fulani (nikataja jina langu) kabla sijamaliza kutaja jina simu ikakatwa.

Mpaka muda huu hakuna simu inayopokelewa tena wala sijibiwa Meseji. Hivyo nimeridhika na matokeo maisha yanasonga kimtindo.

Mfariji wangu wa karibu kwa sasa ni movie. Hakuna namna nyingine.

Nawashauri wanawake kama haumtaki mtu mwambie ukweli ajue siyo kuigiza kuwa unapenda kumbe uko pale tu kwa manufaa yako binafsi.

Ahsanteni.
Huna akili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom