Wanawake acheni roho mbaya

Wanawake acheni roho mbaya

Heshima yenu humu ndani wakuu.

Wanawake kwa nini mnakuwa na roho mbaya hivyo?

Inakuwaje unamletea visa mtu ambaye mlikuwa mnapendana ambaye mlipanga mambo mbalimbali ya kimaisha?

Mtu ambaye amekusaidia mbalimbali leo hii unamuona hafai. Kweli Wanawake ni viumbe ajabu sana.

Huwa wanaficha makucha wanapokuwa wanahitaji kitu fulani kwa wakati fulani.Pindi apatapo hicho kitu ghafla utaona anabadilika mpaka unajikuta na wewe unajishangaa mara mbili mbili.

Miezi kama miwili iliyopita nilikutana na mrembo na ana kila sifa ya kuitwa mwanamke. Mwenye umbo namba 8 umbo hatari sana.

Basi tukawa tumependana na kuwa na mipango mingi tu ingawa yeye alikuwa hana kazi yoyote. Kitu cha kwanza nikamsaidia akapata kazi kwenye kampuni moja hapa mjini kwa mshahara wa laki 4 tu.

Baada ya kupata hiyo kazi nimeshangaa ghafla amebadilika sana. Simu nikipiga hapokei na akipokea anatoa sababu za kijinga sana. Kama mjuavyo huwezi ukaacha kujipa matumaini kimtindo kuwa umpendae atakuwa poa tu huenda kuna kitu kinamsumbua.

Leo nmeangalia kwenye whatsApp ameniblock na nikipiga simu haipatikani so nashindwa sijui nifanyeje. Nikajaribu kumcheki kwa namba mpya hakupokea ikabidi nimtumie Meseji ya kumuuliza kama amepata hela niliyomtumia kiasi cha laki moja.

Baada ya dakika mbili akipiga akinieleza kuwa hajapokea hapo hapo nikamchana ukweli kuwa una ongea na Fulani( nikataja jina langu) kabla sijamaliza kutaja jina simu ikakatwa.

Mpaka muda huu hakuna simu inayopokelewa tena wala sijibiwa Meseji.Hivyo nimelidhika na matokeo maisha yanasonga kimtindo.

Mfariji wangu wa karibu kwa sasa ni movie. Hakuna namna nyingine.

Nawashauri Wanawake kama haumtaki mtu mwambie ukweli ajue siyo kuigiza kuwa unapenda kumbe uko pale tu kwa manufaa yako binafsi.

Ahsanteni.
Umemfanya mjasiriamali akawa mjasiri na mali
 
Hukusoma alama za nyakati mchumba hasaidiwi na ukimsaidia ni pale tu unataka samaki yake baaada ya hapo akili kumkichwa
 
Thanks binti Lady Janet!

Ila kutoa msaada ni kawaida tu haijalishi kuna uhusiano gani.

Pia hata ungekuwa wewe kumuona mtu wako anasimbuka mtaani na bahasha hapa na pale pasipo mafanikinikio then chance ikatokea hakika lazima utapambana ili aipate.

Ila siyo mbaya na hainiumizi sana maana Mimi siyo kwanza kuachwa kwa mtindo huo.
 
Josh pale sana mkuu hivyo vitu siku hizi vinashamiri kweli..Mapenzi ya siku hizi ni ya kwenye wallet..
Mapenzi ya kweli siku hizi hakuna na ni wachache sana wenye nayo...Mi nadhani jambo la msingi ni kutulia..Mshirikishe Mungu katika maombezi yako hakika ipo siku atakusikia na utapata mwenza mwenye mapenzi ya kweli na mwenye staha njema..Sio kama huyo aliyekuwa na tabia chafu/ mbovu...

Kusomana/Kujuana tabia ni Jambo la msingi sana[emoji114][emoji114]

~Joseverest~
 
Siku hizi mnafanyaje vijana? enzi zetu ilikua ni process ndefu sana kumpata mwanamke, ndo mana ilikua ukimpoteza unatamani ujiue. Unakuta kumtafuta ni miezi 2, kumtongoza miezi 6 - 12, jibu miezi 2 - 4, kupewa tunda mwaka 1 - 2, kwahiyo unajikuta ukimpoteza mpenzi ujue utakaa zaidi ya mwaka au miaka 2 ndo uje kupata penzi.Ndo mana wengi mnakuta tulikua hatuachani japo tulikua tunakoseana sana.
Umri wa mtu huo,kweli kazi ilikuwepo,sasa ivi ata majina hamuulizani ni kipochi manyoya tu mwanzo mwisho hatutakagi ujinga
 
jamani pole aisee .. tulimpa trafic mmoja lifti maeneo ya mtongani mpaka posta aisee yule jamaa analalamika si kasomesha mwanamke kapata kazi kaolewa na mwanaume mwingine kamwachia mtoto wa miezi mitatu .. jamaa analaani anaelekea kluwa chizi anahadithia huku akichombeza na nyimbo za kikatoliki nilimwonwa huruma sana.. ila nikamwambia mchumba hasomeshwi
kazi ipo
 
Mchunie, futa namba yake, delete kabisa. Wanawake wako wengi mkuu, kama uko Dar, karibu South Beach kigamboni weekend uje uone utajiri wa viumbe hao nchini. Utamsahau huyo unaemwona wa maana.
 
Josh pale sana mkuu hivyo vitu siku hizi vinashamiri kweli..Mapenzi ya siku hizi ni ya kwenye wallet..
Mapenzi ya kweli siku hizi hakuna na ni wachache sana wenye nayo...Mi nadhani jambo la msingi ni kutulia..Mshirikishe Mungu katika maombezi yako hakika ipo siku atakusikia na utapata mwenza mwenye mapenzi ya kweli na mwenye staha njema..Sio kama huyo aliyekuwa na tabia chafu/ mbovu...

Kusomana/Kujuana tabia ni Jambo la msingi sana[emoji114][emoji114]

~Joseverest~
Ahsante Sana Mkuu.

Nimeelewa Sana ushauri wako!
 
Mchunie, futa namba yake, delete kabisa. Wanawake wako wengi mkuu, kama uko Dar, karibu South Beach kigamboni weekend uje uone utajiri wa viumbe hao nchini. Utamsahau huyo unaemwona wa maana.
Poa Mkuu!

Weekend nitakucheki!
 
jamani pole aisee .. tulimpa trafic mmoja lifti maeneo ya mtongani mpaka posta aisee yule jamaa analalamika si kasomesha mwanamke kapata kazi kaolewa na mwanaume mwingine kamwachia mtoto wa miezi mitatu .. jamaa analaani anaelekea kluwa chizi anahadithia huku akichombeza na nyimbo za kikatoliki nilimwonwa huruma sana.. ila nikamwambia mchumba hasomeshwi
Unaona sasa wanawake mlivyo
 
Siku hz syo hvo,ukiwa na gheto zuri na hela ya kubadilishia mboga na pamba 5,utawakimbia
Mbona Mimi hivyo vyote ninavyo, Ila bado nastruggle sana kuwanasa hawa viumbe sitaki wa kuoaa sababu yupoo alishaandaliwa tangu kitambo ni swala la muda tu.
 
Mke hasomeshwi wala kutafutiwa kazi...kama umemkuta mbumbumbu ishi nae hvyo hivyo...kama umemkuta na elimu yake its okey na km umemkuta na kazi yake its okey
Ila kama hujamkuta na hvyo vyote hivyo Ujue Mungu pekee ndio anajua ndio mana akamnyima......
...........................
Ni hayo tu mi naenda zangu
 
Mbona Mimi hivyo vyote ninavyo, Ila bado nastruggle sana kuwanasa hawa viumbe sitaki wa kuoaa sababu yupoo alishaandaliwa tangu kitambo ni swala la muda tu.
Hahahahah.

Inategemea uko sehemu gani Mkuu!
 
Ndo maaana mi nikiwapata nagegeda mpaka papuch inavimba yaan mpululu mpalala
 
Hapo ndipo utakapojua kwanini tunaitwa wanaume wa dar......
Tangu walivyo tuitaga VIBUSI basi na sie tunawapa show za kitapelitapeli ili akisepa na aendage tu.

Nakushauri kuwa mwanaume wa dar tu utapeli na sifa nyingi show mbovumbovu ili aende zake.

Wanaume wa dar hatuliagi na mapenzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom