Sir mgax
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 2,029
- 3,555
Mu buheri wa afya wandugu zanguni?
Haya mnajua kua siku zote ukweli huwa haufichiki?
Leo nitoe stori fupi kidogo lakini yenye funzo.
Nikiwa ninapata eilimu ya upili mkoa mmojawapo wenye baridi kali sana hapa Tanzania.
Nilijimilikisha simu kuanzia kidato cha pili hadi cha mwisho.
Sasa movie inaanzia hivi,
Nilipokuwa nikienda na simu skuli,nilijitahidi sana kuishi private ila mission ilibuma.
Miaka na miaka, nikiwa kidato cha nne,rafiki niliyempatia simu aligundulika(nilivyowaza) na ikapelekea mimi kufikishwa school cort.
Cha ajabu zaidi mimi mwenye simu nilikubali kukamatwa na makosa yote ya umiliki wa simu shule na mengine ambayo yalipelekea nipewe hukumu ya kutokuwepo shule ikiwemo masomo(nilikubali bila kipingamizi).
KUTOKEA KWA MTANANGE MZITO BAINA YANGU NA MWANAFUNZI MWENZANGU.
Niliamriwa kabla ya kupatiwa hukumu yangu,nitoe simu kwenye uongozi wa shule,Nikamfuata mwana ambaye nilimkabidhi simu(mwanangu kindakindaki) aweze kunipatia simu ile ili niwapatie walimu.Sasa ukiacha ILIKUWAJE HADI SIMU YANGU ITAMBULIKE IKIWA MACHIZI KIBAO WANAZO NA HAKUNA MWALIMU ANAYEJUA?
Huku jamaa akanikataa kuwa hana simu yangu.
Kesi ilikuwa nzito sana,ikabidi familia za pande mbili zije ili lengo lipatikane suluhu.
UJIO WA WANAFAMILIA SHULENI.
Jamaa huyu tumpe jina ELISHA,yeye alikuja baba yake
Na mimi nijiite SIR alikuja kaka.
Baada ya ujio wao na kupatiwa maelekezo kutoka kwa mwalimu wa nidhamu.
Baba Elisha alikataa kuhusishwa na mawasiliano ya aina yoyote kupitia simu yangu na hakufurahishwa na maelezo ga kuwa mtoto wake alihusika katika kesi yangu.
Upande wangu Kaka alikataa pia kuhusishwa na mawasiliano ya aiona yoyote kupitia namba yangu ingawa namba hiyo aliidhibitisha kuwa ni yakwangu ksitoshe jamii na walimu pia wanajua kuwa huwa ninatumia simu nje ya shule,kaka hakushtushwa baada ya kuambiwa niko na matumizi ya simu ndani ya eneo la shule
Aliamini huenda ikawa kweli kutokana na hali ya utundu niliyokuwa nayo kipindi hicho,Hivyo alitamani aniadhibu hadi niseme ukweli,ingawa walimu walitamani afuate utaratibu hivyo niliadhibiwa na waalimu tu.
HUKUMU YA AWALI.
Hapa sitoweza kuandika A to Z,ingawa nilipata maumivu makali yaliyonitesa sana kipindi nikitumikia Elimu.
Wakati ninaendelea kuchezea kipigo cha matako,mgongo,kichwa na miguu,kauli yangu ilikuwa ya kujirudia.
“Simu anayo Elisha.”Ingawa mwanzo nilionekana ninataka kujisafisha kwa kumchafua mwingine.
SIMU INATAFUTWA.
Baada ya kipigo cha zaidi ya nusu saa Baba Elisha aliomba nipumzishwe na kunitaka nikakae chemba na mwanafunzi mwenzangu ili keshi ipate suluhu.Yaani mzazi alitamani tukae sisi wawili na tuoneshane ukweli wa roho zetu.NILIJIFUNZA KITU HAPA.
Maswali yangu yalikuwa machach kwa Elisha.
1.Unaona nilivyopigwa?
2.simu yangu iko wapi?
3.Kwanini umenifanyia hivi?
Kwa aibu kubwa sana Elisha aliniomba akachukue simiu sehemu alipoificha,Baada ya kurudi nilimwambia aiwasilishe yeye mwenyewe haina haya ya kunipatia mkononi AIBU AIBU AIBU.
NUTUMIKIA KWANGU ADHABU.
Fedheha,dharau,masimango ,kashfa na matusi mengi sana niliyaoga huko nyumbani,nilijuta na kuwaogopa marafiki,nililoa kwa maumivu makali ya fimbo za wakina-Quaimo,Remi kukome na Zacharia.
Adhabu iliisha nikarejea masomoni.
Haya HEADLINE IMEJIELEZA.
Binti wa zamani Ukumbuka nilikuahidi ipo siku nitapata ukweli juu ya kisa cha wale wanandoa wa bunju?
Binti wa zamani ni kweli hizi ndoa zilo na mengi sana yaliyojificha,Kweka alikuwa na ujarisi mkubwa mno hadi kufikia ile hatua🙌🙌🙌
Uvumilivu aliouonesha kabla ya yale maamuzi ni mkubwa sana sio rahisi.
Ila niseme tu kwenu wanawake
MWANAUME ANAPOKUOA ANATARAJIA VITU VIFUATAVYO.
-WATOTO KUTOKA KIUNONI KWAKE
-MSAADA WAKO KWAKE
-UWE CHINI YAKE n.k
Huu ndio ukweli na hayo mengine ni ziada.
NB:Ni sehemu ya kujifunza.
Nimemaliza.