miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
unabahati aisee,.. ila ukishampata unafanya wanaume wajisemee kumba anakubali halafu wanamjaribu kumbe hajaribiwiSi atafute na yeye wa kwake sasa?
Anasubiri wewe upointi halafu ajisogeze?
Ukiwa mzuri katika kupointi hakika lazima umpate unaentaka.