Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,732
Uhuhhuu hakuna mapenzi jombaa
Ulishaonywa uishi na wanawake kwa akili....
Ulishaonywa uishi na wanawake kwa akili....
tehetehe sio umenisahihisha mkuu "MWANAUME HAPENDI" la sivyo utaumiaa vibayaMwanaune hapendagi ndiyo nini Mkuu?
Au umeongea kwa lugha ya kabila lako.
Ila nashukuru natumai ulimaanisha kuwa "mwanaume hapendi"
Ukikutana naye tandika vibaoPole Mkuu.
Wanazidi kunifundisha sana hawa viumbe kwa namna moja au nyingine.
Mleta mada hajalilia mapenzi sema ametaka kutoa funzo kwa wanawake wenyewe na wanaume pia.Mimi nampongeza kwa alichokifanya kuna wengi watajifunza kwa sababu kila kinachotokea huwa kina funzo ndani yake.Mwanaume unalia na mapenzi? tafuta wengine wanawake walivyo wengi tena siku hizi kutongozana hakuna.
Mzee siku hizi ni maharage ya mbeya,ndani ya saa limoja toka kutongoza unapiga mzigo,unaitwa mume na kila kitu.Siku hizi bana ni walet yako au uwezo wako wa kuongea.Siku hizi mnafanyaje vijana? enzi zetu ilikua ni process ndefu sana kumpata mwanamke, ndo mana ilikua ukimpoteza unatamani ujiue. Unakuta kumtafuta ni miezi 2, kumtongoza miezi 6 - 12, jibu miezi 2 - 4, kupewa tunda mwaka 1 - 2, kwahiyo unajikuta ukimpoteza mpenzi ujue utakaa zaidi ya mwaka au miaka 2 ndo uje kupata penzi.Ndo mana wengi mnakuta tulikua hatuachani japo tulikua tunakoseana sana.
Well said!Mleta mada hajalilia mapenzi sema ametaka kutoa funzo kwa wanawake wenyewe na wanaume pia.Mimi nampongeza kwa alichokifanya kuna wengi watajifunza kwa sababu kila kinachotokea huwa kina funzo ndani yake.
kuna kushikwa ukashikikaIla inategemea kumbuka kuna kunogewa Mkuu.
Thanksjamani pole aisee .. tulimpa trafic mmoja lifti maeneo ya mtongani mpaka posta aisee yule jamaa analalamika si kasomesha mwanamke kapata kazi kaolewa na mwanaume mwingine kamwachia mtoto wa miezi mitatu .. jamaa analaani anaelekea kluwa chizi anahadithia huku akichombeza na nyimbo za kikatoliki nilimwonwa huruma sana.. ila nikamwambia mchumba hasomeshwi
yule jamaa atakuwa chizi sababu kaingia kwenye gari tu kaanza kuongea baada ya salamu ya tumsifu Yesu kristo. imagine kipato cha polisi usomeshe mtu ukijua manakuja kusaidiana maishani halafu anakupiga chini duh ngumu sanaThanks
Hatari sana Mkuu.
Ikitokea unaweza ukawa namba moja kati ya wanne.