Wanawake acheni roho mbaya

Wanawake acheni roho mbaya

Wakati mwingine wanaigiza Mkuu.

Anakuonyesha upendo wa hali ya juu mpaka inapelekea umwamini.

Hawa Wanawake wanaweza ficha makucha (tabia, hisia) hata muda wa miaka ishirini na usijue wala kugundua akishapata alichokuwa anahitaji unaanza kuona anajitoa mdogo mdogo kama hataki vile kumbe yupo serious.

Ni tofauti na sisi wanaume ukiona namna gani hatukopeshi.
na ndio maana baibo inasema ishi na mwanamke kwa akili

ujue kila mtu ana malengo yake maishani ... labda baada ya kukuchunguza kakuona sio na pia utakuta alikuwa na mtu wake mahali ila alikwama kimtindo ndo maana akachepuka na wewe tehetehe usishangae siku dume linapokea simu na kukuonya uachane na mwanamke wake
 
Nishaampotezea tayari Mkuu.

Ngoja nitafute mwingine.
 
Heshima yenu humu ndani wakuu.

Wanawake kwa nini mnakuwa na roho mbaya hivyo?

Inakuwaje unamletea visa mtu ambaye mlikuwa mnapendana ambaye mlipanga mambo mbalimbali ya kimaisha?

Mtu ambaye amekusaidia mbalimbali leo hii unamuona hafai. Kweli Wanawake ni viumbe ajabu sana.

Huwa wanaficha makucha wanapokuwa wanahitaji kitu fulani kwa wakati fulani.Pindi apatapo hicho kitu ghafla utaona anabadilika mpaka unajikuta na wewe unajishangaa mara mbili mbili.

Miezi kama miwili iliyopita nilikutana na mrembo na ana kila sifa ya kuitwa mwanamke. Mwenye umbo namba 8 umbo hatari sana.

Basi tukawa tumependana na kuwa na mipango mingi tu ingawa yeye alikuwa hana kazi yoyote. Kitu cha kwanza nikamsaidia akapata kazi kwenye kampuni moja hapa mjini kwa mshahara wa laki 4 tu.

Baada ya kupata hiyo kazi nimeshangaa ghafla amebadilika sana. Simu nikipiga hapokei na akipokea anatoa sababu za kijinga sana. Kama mjuavyo huwezi ukaacha kujipa matumaini kimtindo kuwa umpendae atakuwa poa tu huenda kuna kitu kinamsumbua.

Leo nmeangalia kwenye whatsApp ameniblock na nikipiga simu haipatikani so nashindwa sijui nifanyeje. Nikajaribu kumcheki kwa namba mpya hakupokea ikabidi nimtumie Meseji ya kumuuliza kama amepata hela niliyomtumia kiasi cha laki moja.

Baada ya dakika mbili akipiga akinieleza kuwa hajapokea hapo hapo nikamchana ukweli kuwa una ongea na Fulani( nikataja jina langu) kabla sijamaliza kutaja jina simu ikakatwa.

Mpaka muda huu hakuna simu inayopokelewa tena wala sijibiwa Meseji.Hivyo nimelidhika na matokeo maisha yanasonga kimtindo.

Mfariji wangu wa karibu kwa sasa ni movie. Hakuna namna nyingine.

Nawashauri Wanawake kama haumtaki mtu mwambie ukweli ajue siyo kuigiza kuwa unapenda kumbe uko pale tu kwa manufaa yako binafsi.

Ahsanteni.
Namba 8 kama hii ?
1476691682272.jpg
 
pole kaka alichokufanyia sio kizuri wala usilie wanawake wote waliojaa mwache aende ila dunia ikimfunza atakumbuka fadhira zako
msimamo kama huo wako wangekuwa nao "mademu" wengi dunia ingekuwa ni "paradiso" kwa wapendanao
 
Kwahiyo unanishauri niachane na hawa Wanawake fake wa mjini nikatafute mwanamke huko vijijini?
hapana mjini wapo watakatifu sema.inabidi uwe makini sana sana sana wengi wapo kimaslahi zaidi wengi si watulivu kabisa wanadinywa kama kuku unakuta mwanamke ana mabwana kibao tena wengine ni wake za watu wengine wameamua kugeuza papuche zao kitega uchumi
 
Kibaya zaidi siku hizi wadinyaji tunapenda sana barabara ya vumbi sijui ni kwa nini inakuwa hivyo.
 
Kuna watu wa kuwasaidia lakini siyo wanawake! ( I am sorry mam and dear sisters)
Nina Experience ya kutosha sana,
Halafu wana kauli mbaya sana unaweza ukaua kwa majibu yao,
Kwa maisha yetu ya leo kama unamsaidia mwanamke ni vyema umsaidie lakini usihusishe na mapenzi,
We kama ukiamua kumsaidia msaidie tu kwa moyo moja, but usichanganye na mahusiano utalizwa.
Experience yangu inaniambia nikimsaidia kijana mwenzangu kama tulikuwa rafiki basi tunakuwa ndugu kabisa,
Lakini tofauti na mwanamke, dakika yeyote ile, hata muda uleule akifika kule kwa wenzake majina anayokuita ungesikia ungezimia kabisa.
So ushauri wangu kwako kijana, Relax! Onesha kwamba you are strong and yo can go on.
 
Thanks brother!

Umeongea maneno mzuri sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom