Wanawake acheni roho mbaya

Wanawake acheni roho mbaya

Heshima yenu humu ndani wakuu.

Wanawake kwa nini mnakuwa na roho mbaya hivyo?

Inakuwaje unamletea visa mtu ambaye mlikuwa mnapendana ambaye mlipanga mambo mbalimbali ya kimaisha?

Mtu ambaye amekusaidia mbalimbali leo hii unamuona hafai. Kweli Wanawake ni viumbe ajabu sana.

Huwa wanaficha makucha wanapokuwa wanahitaji kitu fulani kwa wakati fulani.Pindi apatapo hicho kitu ghafla utaona anabadilika mpaka unajikuta na wewe unajishangaa mara mbili mbili.

Miezi kama miwili iliyopita nilikutana na mrembo na ana kila sifa ya kuitwa mwanamke. Mwenye umbo namba 8 umbo hatari sana.

Basi tukawa tumependana na kuwa na mipango mingi tu ingawa yeye alikuwa hana kazi yoyote. Kitu cha kwanza nikamsaidia akapata kazi kwenye kampuni moja hapa mjini kwa mshahara wa laki 4 tu.

Baada ya kupata hiyo kazi nimeshangaa ghafla amebadilika sana. Simu nikipiga hapokei na akipokea anatoa sababu za kijinga sana. Kama mjuavyo huwezi ukaacha kujipa matumaini kimtindo kuwa umpendae atakuwa poa tu huenda kuna kitu kinamsumbua.

Leo nmeangalia kwenye whatsApp ameniblock na nikipiga simu haipatikani so nashindwa sijui nifanyeje. Nikajaribu kumcheki kwa namba mpya hakupokea ikabidi nimtumie Meseji ya kumuuliza kama amepata hela niliyomtumia kiasi cha laki moja.

Baada ya dakika mbili akipiga akinieleza kuwa hajapokea hapo hapo nikamchana ukweli kuwa una ongea na Fulani( nikataja jina langu) kabla sijamaliza kutaja jina simu ikakatwa.

Mpaka muda huu hakuna simu inayopokelewa tena wala sijibiwa Meseji.Hivyo nimelidhika na matokeo maisha yanasonga kimtindo.

Mfariji wangu wa karibu kwa sasa ni movie. Hakuna namna nyingine.

Nawashauri Wanawake kama haumtaki mtu mwambie ukweli ajue siyo kuigiza kuwa unapenda kumbe uko pale tu kwa manufaa yako binafsi.

Ahsanteni.
Mkuki??? Umba wako. Nanyi hamjioni mlivyo na roho mbaya? Wale wadada 2 uliowaacha na mimba kwa madharau na kejeli hukuona ni roho mbaya hicho kidogo ndio unalalama dunia nzima????? Onja nawe kidogo ujue inauma vipi
 
Kuna tofauti ya kuwa na wanawake wengi na suala la kupenda.
Km haujawahi kupenda hii issue itaiona ni kawaida sana
Usiombe kupenda, halafu ukaachwa.

Mapenzi yaache km yalivyo mkuu
Hakika Mkuu.

Sema yeye amezoea wale wa kupiga tu bila kuwa na malengo ya badae!
 
Yaan umekutana nae miezi miwili tu ya kukutana nae, ukamtafutia kazi na ukaona umepata mwenza[emoji15]

Nadhani unatakiwa ufurahi umefahamu tabia zake mapema, badala ya kulalamika.. Endelea kutafuta, na kwa style yako Mkuu, utakuja kila cku hapa kulalama..
 
Mkuki??? Umba wako. Nanyi hamjioni mlivyo na roho mbaya? Wale wadada 2 uliowaacha na mimba kwa madharau na kejeli hukuona ni roho mbaya hicho kidogo ndio unalalama dunia nzima????? Onja nawe kidogo ujue inauma vipi
Akina nani hao tena Mkuu.

Au ndiyo wewe?

Kama ndiyo wewe Kwanini uwalipizie wao?

Sijawahi kuaacha wadada 2 wenye mimba kasome vizuri ulikotoa hizo taarifa.
 
Kuna baadhi ya wanawake wanawachafua wenzao ndiyo maana kwa sasa hawaminiki ktk jamii.
Wapo wenye upendo na wasio na upendo sasa hawa wasio na upendo ndiyo wanaoharibia wenzio.
Usiombe mwanaume ukamchanganya maana revenge yake siyo ya mchezo.
Ndiyo maana sasa hiv utakuta wanawake single mothers wengi, waliotelekezwa wengi, ndiyo wanalia hakuna waoaji, wanaliwa tigo n.k
Hii yote ni kwa sbb baadhi yenu suala la upendo meliweka pembeni.
Najua huyu mtoa uzi maumivu yakipungua hapa, vurugu atakayoifanya lazima wanawake walie na kujuta
na baadhi ya wengine kuwachukia wanaume km yule Miss Natafuta. mwisho wa siku wanaanza kujifariji kuwa wanaweza kuishi bila ya mwanaume.
Ngoja tuone maana km hawataki kupendwa suluhu ni moja tu Kula na kusepa
 
Yaan umekutana nae miezi miwili tu ya kukutana nae, ukamtafutia kazi na ukaona umepata mwenza[emoji15]

Nadhani unatakiwa ufurahi umefahamu tabia zake mapema, badala ya kulalamika.. Endelea kutafuta, na kwa style yako Mkuu, utakuja kila cku hapa kulalama..
Nilifanya hivyo kwa sababu niliamini tunapendana kiukweli Mkuu.

Kumsaidia mtu unayempenda siyo mbaya Mkuu.

Pia kupenda hakuchagui sijui mpaka mkae miaka mitano wala nini.

Bali penzi huchanua muda wowote na popote bila kuangalia muda, sehemu na umri.
 
pole sana....hata wanaume mko ivoivo.tulia tu....usimtafute tena.....huwaga hawafiki mbali hao.....atalizwa kimapenz mpaka akome na hats akiolewa hadumu.jibu sahihi ni kutulia tu majibu atapata.
 
wanawake wameumbwa kutegemea wanaume kwaiyo watakutumia mpaka wakuache mifupa. na mapenzi yao yatakua kwa mtu mwingine kabisa na sio wewe. ndivyo walivyo na hawatabadilika. tafuta dem mwingine utafune kwanza ndo mambo ya kusaidia yafwate. tena hakikisha umetafuna kisawasawa. na ikiwezekana ukishatafuna we sepa. kama unataka kusaidia iwe ni hiari yako na usitegemee hata neno asante. ikitokea akakushukuru iwe ni suprise kwako
 
Kuna baadhi ya wanawake wanawachafua wenzao ndiyo maana kwa sasa hawaminiki ktk jamii.
Wapo wenye upendo na wasio na upendo sasa hawa wasio na upendo ndiyo wanaoharibia wenzio.
Usiombe mwanaume ukamchanganya maana revenge yake siyo ya mchezo.
Ndiyo maana sasa hiv utakuta wanawake single mothers wengi, waliotelekezwa wengi, ndiyo wanalia hakuna waoaji, wanaliwa tigo n.k
Hii yote ni kwa sbb baadhi yenu suala la upendo meliweka pembeni.
Najua huyu mtoa uzi maumivu yakipungua hapa, vurugu atakayoifanya lazima wanawake walie na kujuta
na baadhi ya wengine kuwachukia wanaume km yule Miss Natafuta. mwisho wa siku wanaanza kujifariji kuwa wanaweza kuishi bila ya mwanaume.
Ngoja tuone maana km hawataki kupendwa suluhu ni moja tu Kula na kusepa
Hakika kula na kusepa ndiyo mpango Mkuu.
 
wanawake wamejaa kwasasa acha kulalama ukisimama barabarani tu unakamata yeyote yule
 
pole sana....hata wanaume mko ivoivo.tulia tu....usimtafute tena.....huwaga hawafiki mbali hao.....atalizwa kimapenz mpaka akome na hats akiolewa hadumu.jibu sahihi ni kutulia tu majibu atapata.
Well said!

Nimekubali ushauri wako.
 
wanawake wameumbwa kutegemea wanaume kwaiyo watakutumia mpaka wakuache mifupa. na mapenzi yao yatakua kwa mtu mwingine kabisa na sio wewe. ndivyo walivyo na hawatabadilika. tafuta dem mwingine utafune kwanza ndo mambo ya kusaidia yafwate. tena hakikisha umetafuna kisawasawa. na ikiwezekana ukishatafuna we sepa. kama unataka kusaidia iwe ni hiari yako na usitegemee hata neno asante. ikitokea akakushukuru iwe ni suprise kwako
Hahahahah.

Poa poa Mkuu
 
wakuu jamaa hapa kaja kuomba ushauli na sidhani kama analalamika, but wadada bhana hata hawafikilii kidogo kama wao wako wengii hata wanaume wakiamua kugawana wanawake wawili wawili still watabaki tu

Mkuu cha msingi mi nakushaurii we mtafute best yake au rafiki yake kabisa then tongozaa huyoo mi nahsi kidogo maumivu kiasi chake na atatafuta njia ya kuombas

*simba kala simba hiyoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom