Wanawake acheni roho mbaya

Wanawake acheni roho mbaya

joshydama

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
4,623
Reaction score
5,054
Heshima yenu humu ndani wakuu,

Wanawake kwanini mnakuwa na roho mbaya hivyo?

Inakuwaje unamletea visa mtu ambaye mlikuwa mnapendana ambaye mlipanga mambo mbalimbali ya kimaisha?

Mtu ambaye amekusaidia mbalimbali leo hii unamuona hafai. Kweli wanawake ni viumbe ajabu sana.

Huwa wanaficha makucha wanapokuwa wanahitaji kitu fulani kwa wakati fulani. Pindi apatapo hicho kitu ghafla utaona anabadilika mpaka unajikuta na wewe unajishangaa mara mbili mbili.

Miezi kama miwili iliyopita nilikutana na mrembo na ana kila sifa ya kuitwa mwanamke. Mwenye umbo namba 8 umbo hatari sana.

Basi tukawa tumependana na kuwa na mipango mingi tu ingawa yeye alikuwa hana kazi yoyote. Kitu cha kwanza nikamsaidia akapata kazi kwenye kampuni moja hapa mjini kwa mshahara wa laki 4 tu.

Baada ya kupata hiyo kazi nimeshangaa ghafla amebadilika sana. Simu nikipiga hapokei na akipokea anatoa sababu za kijinga sana. Kama mjuavyo huwezi ukaacha kujipa matumaini kimtindo kuwa umpendae atakuwa poa tu huenda kuna kitu kinamsumbua.

Leo nimeangalia kwenye whatsApp ameniblock na nikipiga simu haipatikani so nashindwa sijui nifanyeje. Nikajaribu kumcheki kwa namba mpya hakupokea ikabidi nimtumie Meseji ya kumuuliza kama amepata hela niliyomtumia kiasi cha laki moja.

Baada ya dakika mbili akipiga akinieleza kuwa hajapokea hapo hapo nikamchana ukweli kuwa una ongea na fulani (nikataja jina langu) kabla sijamaliza kutaja jina simu ikakatwa.

Mpaka muda huu hakuna simu inayopokelewa tena wala sijibiwa Meseji. Hivyo nimeridhika na matokeo maisha yanasonga kimtindo.

Mfariji wangu wa karibu kwa sasa ni movie. Hakuna namna nyingine.

Nawashauri wanawake kama haumtaki mtu mwambie ukweli ajue siyo kuigiza kuwa unapenda kumbe uko pale tu kwa manufaa yako binafsi.

Ahsanteni.
 
Mm ni kama ww,imenitokea hvyo mipango ming kumbe mwenzangu hana hata nia na mm kabisa,nimejifunza kitu na ww inabd ujifunze,ucmwamini mwanamke hata mara moja wanabadlka kama kinyonga najua amekupa stress kiac amabch hata mamb yko mengine hayaendi.
 
pole kaka alichokufanyia sio kizuri wala usilie wanawake wote waliojaa mwache aende ila dunia ikimfunza atakumbuka fadhira zako
Thanks.

Siwezi kulia hata siku moja sema inakuwa siyo vizuri.

Pia kufanya hivyo siyo mwisho wa maisha yangu bali maisha yatasonga kama kawaida.

Ukiona mlango ule umefungwa ujue mwingine utafunguliwa punde.
 
Mwanaume unalia na mapenzi? tafuta wengine wanawake walivyo wengi tena siku hizi kutongozana hakuna.
Siku hizi mnafanyaje vijana? enzi zetu ilikua ni process ndefu sana kumpata mwanamke, ndo mana ilikua ukimpoteza unatamani ujiue. Unakuta kumtafuta ni miezi 2, kumtongoza miezi 6 - 12, jibu miezi 2 - 4, kupewa tunda mwaka 1 - 2, kwahiyo unajikuta ukimpoteza mpenzi ujue utakaa zaidi ya mwaka au miaka 2 ndo uje kupata penzi.Ndo mana wengi mnakuta tulikua hatuachani japo tulikua tunakoseana sana.
 
Mm ni kama ww,imenitokea hvyo mipango ming kumbe mwenzangu hana hata nia na mm kabisa,nimejifunza kitu na ww inabd ujifunze,ucmwamini mwanamke hata mara moja wanabadlka kama kinyonga najua amekupa stress kiac amabch hata mamb yko mengine hayaendi.
Pole Mkuu.
Wanazidi kunifundisha sana hawa viumbe kwa namna moja au nyingine.
 
Siku hizi mnafanyaje vijana? enzi zetu ilikua ni process ndefu sana kumpata mwanamke, ndo mana ilikua ukimpoteza unatamani ujiue. Unakuta kumtafuta ni miezi 2, kumtongoza miezi 6 - 12, jibu miezi 2 - 4, kupewa tunda mwaka 1 - 2, kwahiyo unajikuta ukimpoteza mpenzi ujue utakaa zaidi ya mwaka au miaka 2 ndo uje kupata penzi.Ndo mana wengi mnakuta tulikua hatuachani japo tulikua tunakoseana sana.
Tunakutana Leo Kesho tunakutana Mango Garden Stori inaishia hapo Msimulizi anakufa.
 
Siku hizi mnafanyaje vijana? enzi zetu ilikua ni process ndefu sana kumpata mwanamke, ndo mana ilikua ukimpoteza unatamani ujiue. Unakuta kumtafuta ni miezi 2, kumtongoza miezi 6 - 12, jibu miezi 2 - 4, kupewa tunda mwaka 1 - 2, kwahiyo unajikuta ukimpoteza mpenzi ujue utakaa zaidi ya mwaka au miaka 2 ndo uje kupata penzi.Ndo mana wengi mnakuta tulikua hatuachani japo tulikua tunakoseana sana.
Una miaka mingapi Mkuu?

Kizazi hiki huwezi tongoza/tongozwa kwa miezi 6-12 maana vyakula wanavyokula hawa vijana vinatia nyege sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom