Wanaume weusi. . . . . !!

Diamond nae ni mdhungu eehh..... he .. macho yang yana makengeza nin???
 
Kuna mweusi kaoa toto la kihindi au mwarabu?
 
Kwanza ni ulimbukeni wa madada zetu wa kuona ni sifa kubwa kuwa na mzungu, pili wana tamaa sana ya vitu vya anasa hivyo wanatafuta namna ya kutoka, tatu wanafikiri wakiwa na wazungu watauza sura zao vizuri zaidi, nne wanadhani kuwa international super star ni kutoka na wazungu, tano wanawababaikia wazungu ili waonekane wanajua kiingereza, sita wanaonea aibu rangi zao ndo maana wanahusudu rangi ya wazungu, saba wanadhani wazungu wanajua kila kitu kumbe wazungu wengine ni mbwa tu, nane wanadhani kila mzungu ana pesa kumbe wengine hawana hata pa kuishi, tisa wanadhani wazungu wana akili sana kuliko weusi kumbe wengine vichwani ni makamasi, kumi wanadhani wazungu ni wakweli na wana huruma kumbe wengine ni majambazi, kumi na moja, wanadanganywa ponography movies, wanadhani kila kitu kwenye pono ndo kilivyo, n.k. Siku hizi kila demu msomi utakayemwuliza una mchumba atakuambia ndiyo na mchumba wake yupo ulaya, Marekani, Japani, nk - nchi nzuri nzuri tu. Hawezi kusema mchumba wake yuko Msumbiji au Mtwara. Dada zetu ni majigambo tu hamna lolote. WEUSI WETU NI MALI, waliotembea watakuambia.
 
Nini wazungu???!!! yaani nimeishi nao kwa ukaribu lakini ajabu wanaharufu isiyoisha hata waoge vp alafu ili wafanye mapenzi vizuri lazima wajiboost either kwa pombe au kuuchezea uume kwa mda mrefu.kwa kifupi hakuna jipya kwa wazungu ila ni ulimbukeni wa dada zetu.

Na kwa utumwa wa akili dada zetu wanafikiri wanachofanya wazungu ndo mapenzi.mzungu anamsamehe kilahisi mpenzie kwa sababu anajua hawezi kumlidhisha ipasavvo mpenzi wake.Tafakari jinsi wadada wa kizungu wanvyopagawa na choka mbaya wa kiafrika utapata jibu.
 

Mmh Mtambuzi labda una maanisha mzungukoko, lakini mzungu halisi ndo kabisa bora hata sisi, wao kuachana kuko nje nje, wana wivu hadi basi, waulize wadada waliokwenye relationship na wadhungu watakwambia!
 
Wanaume wote ni sawa tamaa zao ndo zinawafanya wafanya hivyo!
 

Dada yangu gfsonwin nimekupa like kwa kutusifia hapo kwa red, teh teh teh!!!
 
Black men this, white men that....really? In the 21st century you are still holding to these stereotypes?

The monumental stupidity and ignorance of some people in this thread is astounding and nauseating!

Phina hajambo?
 

mkuu je umegundua ni kwanini wazungu wana harufu isiyoisha?
 
mmmh hao wanaume weupe utawatoa wapi kwanza..huna jeuri ya kukataa mzungu wewe piga kimya...sema huna bahati nao ..siku wakija kwenye anga zako ...hutocheua


Kuna mmoja nafanya naye kazi, she is more than 36 years now hatutaki weusi anataka wadhungu, kisa, anataka half cast.
 


Thanks Dena, maana wanaume weusi twatolewa nduki mno. Wadhungu hawatutaki, weuthi wenzetu wanatutema, wanataka kufuta kizazi cha weusi hawa.
Kuna mmoja nafanya naye kazi, she is over 36 years now, hataki weusi anasubiri wazungu ili apate half cast.
 
wapo dissapointing ukitaka kuwabadilisha, ukimkubali alivo -ve and +ve side.

hakunaga kama wao. ujanja ni kukubali typo utitakayo. kama wakukudunda,

wakukujali, wakukutegemea, ni wewe. wapo in shelves according to ur likes
.

Erotica, you are the genius...kama na mchuzi unatafuta hivi hivi, tuonane ijumaa jioni,lol!
 
Last edited by a moderator:
Eiyer leo nimekupa like kwasababu unajitahd sana kuuchokoa mchokaa. Anyway binafsi sitaki kulichangia hili na siyo kwa nia mbaya bali nitagusa interest za watu fulani humu. But naamini utajifunza kitu ma lito bro.

Hivi unajua kuna watu walikua wanasubiri utasema nini,na moja wa watu hao ni mimi.Hujatutendea haki!
 
Last edited by a moderator:

Dah Mtalimbo?! Dada mmhh
 

Mdharau asili ni mtumwa! Mapenzi huwa hayachaguwi na ukiona mtu anachaguwa basi ujuwe hayuko kwenye mapenzi bali utumwani ili watu wamuone kuwa yeye yuko tofauti na wengine.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…