Wera wera "Wanaume weusi nawapenda mnooooooooooooooo" Hongereni sana sana kwa hiyo colour aisee........................
"I Love You so much" Huyo anayependa wanaume weupe namshauri ajaribu mweusi
Mie mwanaume mweupe huwa simpendi kabisa.....................(Samahani kama kuna mzungu humu) Yaani hata akipita naangalia pembeni......................
Year Eiyer alikuwa sahihi, wanaume weusi tukihisi tunaibiwa kinawaka kweli kweli na panakuwa ahaptoshi, lakini wanaume weupe aka wazungu mke anaweza kumegwa na akaja kumwambia mumewe kwamba alimegwa lakini hayakuwa mapenzi bali tamaa ya ngono tu na mume akasamehe na maisha yakaendelea.........Mke anaweza kumwambia mumewe....
"I just have sex last night with someone buti it was not love, just sex......"
Na mume akajibu.... "It is ok my love....."
Kwa M-bongo pangechimbika..............LOL
tiGO????
miss u sana jamani..... kazi mingi dear...mpe hi babito
Eiyer ma lovely lito bro, nilisema sichangii hii post but navutika kuichangia baada ya kusoma post za watu wote waliojibu hii thread to mention few@kaunga Mtambuzi Ndahani Dana amsi na wengine wote nimepata kitu ila naomba nikiweke hivi.
Jamani wengi wa wasichana ama wadada wa kibongo wanaopenda kuolewa na wazungu ama waarabu mweupe yyte yule nashawishika kusema kwamba ni kwasababu ya tamaa ya maisha ama niseme ya shauku ya kutoka kimaisha. Upendo wa dhati huwa haupo kwakweli but hujitahidi sana kuutengeneza kwa kutumia uvuli wa matamanio kujificha.
hata wanaume wanaopenda kutoka na watu weupe wote sababu ni hiyo manake tena siku hizi wamekuwa ndio kuzidi wanawake. Kwangu mimi huu ni ushamba na woga wa maisha tu pia ni kutokujiamini kwa wanawake ama wasichana hawa.
sikatai upendo wa kweli waweza kuwepo lakini bana bado mwanaume wa kiafrika ni bashasha zaid. they are hot enough, musculine, energetic, and worth giving in bed. Hivi kuna mtu amewah kujiuliza kwanini waafrika nafasi nzuri wanawazo kuchezea kwenye timu ya mpira ni zile kama mid field na siyo goolkeeping? basi ukipata jibu hapa utajua kwanini weusi ni bora zaid kwenye hili.na utajua athari ya ngozi kwenye hili.
ninapotolea mfano wa wachezaji nina refer nyanga za Late Syiller Said Mziray(R.I.P) na Dr Akpta na Dr Shehu na Dr.Ndee.
Ndahani ni kweli. But to me tumkumbuke kwa mema yake jamani. huyu ni mtu ambaye alinifunza mambo mengi sana na ni miongoni mwa watu ambao kifo chao kimeacha pengo katika maisha yangu. hasa katika tasnia ya michezo. nitamkumbuka daima. R.I.P MZIRAY.gfsonwin, huyo mbaba alikuwa balaaa. Yaani alikuwa anawakusanya kuliko maelezo. Sijui alikuwa anawapa nini. RIP Mziray!!
hivi huwa wanacheat? mzungu mnaachana live...huwa hawamix kwa muda mmoja...sio kama weusi mnapigisha foleni dsm kampala
Ndahani ni kweli. But to me tumkumbuke kwa mema yake jamani. huyu ni mtu ambaye alinifunza mambo mengi sana na ni miongoni mwa watu ambao kifo chao kimeacha pengo katika maisha yangu. hasa katika tasnia ya michezo. nitamkumbuka daima. R.I.P MZIRAY.
Ndahani mimi nilisoma ualimu wa sayansi so nilitafuta optional courses za PE ili kuweza kumudu vyema kazi yangu ya ualimu manake health mind stays in health body. nashukuru sana kwakweli yeye na lectures wengine. But sijui siku hizi kama hata hii kozi ipo tena. Masomo ya pe kwa wakati huo tuliyapenda sana hasa sisi waali kwani lol yalikuwa full shangwe baada ya kupigika na ma formula ya kemia ama ma phsiology and anatomy.gfsonwin Kumbe wewe ni msomi wa Physical Education ya Mziray? I used to chat a lot with him when I was around there...ila nilichoka nilipokutana naye Morogoro akiwa kocha wa Simba ikiwa inacheza na Moro United, na mwanafunzi wake wa Physical Education!
That was the man, who always used to smile....
Wewe shika hela kama hawajakuona mzungu hata kama mweusi kama mpoki.