..watu wanasema kwamba kinonge ni uzembee,..ni uzembe.Namimi nasema kwamba kibonge si uzembe,..![]()
![]()
Finally, ladies with curves get a little love!
Utafiti uliofanyika hivi karibuni kutoka University of Mexico umeonyesha kuwa wanaume wenye wanawake wanene au waliooa wanawake wanene wana furaha mara kumi zaidi kuliko wanaume wenye wanawake wembamba au waliooa wanawake wembamba.
Utafiti huo umeonyesha pia kuwa wanaume wenye wanawake wanene, huwa wana smile zaidi na wanaweza kutatua matatizo haraka zaidi kuliko wanaume wenye wanawake wembamba.
Un estudio afirma que las gorditas hacen más feliz a un hombre que una flaquita | Nuevo Diario
Nina kimiminika kirutubishacho nyama za makalio, miguu, maziwa Na kukuacha Na tumbo Na kiuno vyembamba[emoji23][emoji23]ngoja nkausake unene sasa
I love curvy women.
..utafuti unaukweli mtupu,..![]()
![]()
Finally, ladies with curves get a little love!
Utafiti uliofanyika hivi karibuni kutoka University of Mexico umeonyesha kuwa wanaume wenye wanawake wanene au waliooa wanawake wanene wana furaha mara kumi zaidi kuliko wanaume wenye wanawake wembamba au waliooa wanawake wembamba.
Utafiti huo umeonyesha pia kuwa wanaume wenye wanawake wanene, huwa wana smile zaidi na wanaweza kutatua matatizo haraka zaidi kuliko wanaume wenye wanawake wembamba.
Un estudio afirma que las gorditas hacen más feliz a un hombre que una flaquita | Nuevo Diario
Pole sana jitaid kula machips chips utanenepaAcha tu. Ile mbaya! [emoji53]
Msichana mzur wewe acha kabisa sijaona bado kwa jf wa kukufikiaKilo 76 ni kundi lipi mnene au mwembamba??
MmmhhhHahaha
Huwa najiulizaga sipati jibu dear, halafu sio kwamba tunapenda ujue!!! Aki nahisi mioyo yetu inagusana na mifupa
HahahahaMmmhhh
Pole jirani...
Kuna ukweli.![]()
![]()
Finally, ladies with curves get a little love!
Utafiti uliofanyika hivi karibuni kutoka University of Mexico umeonyesha kuwa wanaume wenye wanawake wanene au waliooa wanawake wanene wana furaha mara kumi zaidi kuliko wanaume wenye wanawake wembamba au waliooa wanawake wembamba.
Utafiti huo umeonyesha pia kuwa wanaume wenye wanawake wanene, huwa wana smile zaidi na wanaweza kutatua matatizo haraka zaidi kuliko wanaume wenye wanawake wembamba.
Un estudio afirma que las gorditas hacen más feliz a un hombre que una flaquita | Nuevo Diario
Kawa mnene baada ya kumuoa??Hakuna lolote, utafiti feki huo. Mbona mimi mke wangu mnene na hizo sifa unazozisema sizioni? Kwanza wanene wana gubu halafu ni wavivu kwenye 6x6. Kamoja tu anahema kama kitimoto mjamzito....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kanenepe dear ili na mimi nije kuwa na furaha babasamu muda woteUsinifanye nizidishe msosi mie.... Ila inaweza kuwa kweli eeeh... Maana wale wenzangu na mie tuna gubuuuu sijui mioyo yetu inagusana na mifupaa!!
Jamani nimewaza tuu kwa sauti!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nalendwa umeuaaaaa [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda zinakuwaga hasira za njaa! 😀😀😀😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Hakuna lolote, utafiti feki huo. Mbona mimi mke wangu mnene na hizo sifa unazozisema sizioni? Kwanza wanene wana gubu halafu ni wavivu kwenye 6x6. Kamoja tu anahema kama kitimoto mjamzito....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha
Hiyo pole veepe jirani
Wazungu hao wanapendana hadi kwenye flaws zao ila sio wabongo acha kabisa, usiombe uwe na flaw hata moja unatangazwa kabisa publicly rejea kina mange na joice kiria, mume wa joice kiria nampa pole sanaMwanamke mmoja mnene katoa huu ushuhuda kuwa mume anapenda nyama uzembe zake..
"What I do know is that he loves my fat rolls, my fat dimples, and even the extra side boob that comes with being a chubby girl.."