Wanaume Wenye Wanawake Wanene Wana Furaha Zaidi (Science)

Wanaume Wenye Wanawake Wanene Wana Furaha Zaidi (Science)

Kilo 76 ni kundi lipi mnene au mwembamba??
Inategemea na urefu wako. Kama ni around 165cm nafikiri 76kg ni wastani tu. Ila kama upo below 160, obesity. Ukiwa 168+ upo poa. Mi nina 166cm, so 65-75kg kwangu siyo ubonge.

Hizo data zinatokana zimetokana na my personal observation.. si mtaalamu wa BMI, so I stand to be corrected
 
Hahaha!, wala usiwe na shaka mpenzi he's just a good friend and a people's person.
He's such a sweetheart tho...mshikilie sana usije pokonywa tu, kwa miguu na mikono ukiweza!
Hahaa nishapokonywa mara kibao ila nimo tu kama nimerogwa[emoji23] [emoji23]
 
Hahaa nishapokonywa mara kibao ila nimo tu kama nimerogwa[emoji23] [emoji23]

[emoji1] [emoji28]

Usiwe na wasi mamie si unajua kila kitu kina gharama, na hii ndo gharama ya muda tu ya kuwa na sukari ya warembo.
Mwisho wa siku mwenyewe atarudi kwako na mapenzi tele zaidi ya upendo wa mwanzo..
 
Kwa kweli kama ni gharama nalipa kubwa tu ila Mungu anitie nguvu tu maana kumwacha siwezi
 
Hakuna lolote, utafiti feki huo. Mbona mimi mke wangu mnene na hizo sifa unazozisema sizioni? Kwanza wanene wana gubu halafu ni wavivu kwenye 6x6. Kamoja tu anahema kama kitimoto mjamzito....
Huyo sio mnene ni obesity tu.
 
Hilo liko wazi mpendwa !! Wanawake wanene mbali nakupenda kugegedwa ( ambayo ni furaha kwa mwanamme) bado wanakuaga na mioyo mizuri nahawapendi kua na Huzuni ,, sasa hii hali inawaambukiza na wanaume wao.

Siunajua ukisimama karibu na waridi utanukia tu?.
Doooh kumbe sie vimbaumbau tunawakosesha furaha waume zetu !! Pole zao jamanii, ila akose tu furaha sitatumia mchina
 
Kumbe JF inaficha mengi!!....kilo 76 ina maana wewe ni Tembo??![emoji124][emoji124][emoji124]
tembo kweli wala hujakosea mpenda vyura
20180210_075220.jpg
 
Inategemea na urefu wako. Kama ni around 165cm nafikiri 76kg ni wastani tu. Ila kama upo below 160, obesity. Ukiwa 168+ upo poa. Mi nina 166cm, so 65-75kg kwangu siyo ubonge.

Hizo data zinatokana zimetokana na my personal observation.. si mtaalamu wa BMI, so I stand to be corrected
Nimaintain hii asante best nina urefu wa 166
 
Back
Top Bottom