Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,798
- 22,929
Halafu hata mabarabarani unapokutana na mwanamke bonge, lazima hisia zikupelekee kuwa huyo ni mke wa mtu.
Na hata kama umvamie kutongoza, lakini akilini lazima ukae ukijiandaa na jibu hilo la 'mke wa mtu'.
Na hata kama umvamie kutongoza, lakini akilini lazima ukae ukijiandaa na jibu hilo la 'mke wa mtu'.