Wanaume Wenye Wanawake Wanene Wana Furaha Zaidi (Science)

Wanaume Wenye Wanawake Wanene Wana Furaha Zaidi (Science)

hili ni kweli ila mbona unanibania uhondo unanipa moja tu..wacha nikatafsiri basi.


Hahahah!, bora ukatafsiri manake mengine labda ya chumbani zaidi...lol
 
Ni taarifa nzuri...

- make them happier
-smile more and better dealing with problems
-are better at articipating their partiner's needs

Further more result showed that
Thin women..
-tend to be more reserved
-less expressive


Hizo za mwisho sasa so true...totally mwafulani hapa!
 
Kwahili shemeji yangu nalendwa nakuunga mkono kabisa maana toka niwe na mbitiyaza kwa sasa nina furaha isiyo isha yaan kila wakati nina furaha furaha tu
 
Back
Top Bottom