Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,763
Hili guu la bia inaonekana chura ipo pia!![emoji39] [emoji39] [emoji39]tembo kweli wala hujakosea mpenda vyura
View attachment 693324
Hili guu la bia inaonekana chura ipo pia!![emoji39] [emoji39] [emoji39]tembo kweli wala hujakosea mpenda vyura
View attachment 693324
Ohooooo ndukiHahah!, mbona tunalo mwaka huu! [emoji28]
ww ni mwanamke mnene nadhaniHilo liko wazi mpendwa !! Wanawake wanene mbali nakupenda kugegedwa ( ambayo ni furaha kwa mwanamme) bado wanakuaga na mioyo mizuri nahawapendi kua na Huzuni ,, sasa hii hali inawaambukiza na wanaume wao.
Siunajua ukisimama karibu na waridi utanukia tu?.
Kilo 76 ni kundi lipi mnene au mwembamba??
Ivi naww kumbe ni mwembamba?[emoji23] [emoji23] [emoji23] sitaki kuaminDoooh kumbe sie vimbaumbau tunawakosesha furaha waume zetu !! Pole zao jamanii, ila akose tu furaha sitatumia mchina
Hahaaaaaaaaa kama wokovu wa ZakayoHayo ndio mambo yangu sasa
Hakuna lolote, utafiti feki huo. Mbona mimi mke wangu mnene na hizo sifa unazozisema sizioni? Kwanza wanene wana gubu halafu ni wavivu kwenye 6x6. Kamoja tu anahema kama kitimoto mjamzito....
Na ww umekurupuka. Soma tena title ya hilo bandiko. Hakusema "Baadhi ya wanaume...". Kasema "Wanaume..."sasa na wewe unapinga tafiti kwa sample moja ya mkeo?
jisome bana!
Fact![]()
![]()
Finally, ladies with curves get a little love!
Utafiti uliofanyika hivi karibuni kutoka University of Mexico umeonyesha kuwa wanaume wenye wanawake wanene au waliooa wanawake wanene wana furaha mara kumi zaidi kuliko wanaume wenye wanawake wembamba au waliooa wanawake wembamba.
Utafiti huo umeonyesha pia kuwa wanaume wenye wanawake wanene, huwa wana smile zaidi na wanaweza kutatua matatizo haraka zaidi kuliko wanaume wenye wanawake wembamba.
Un estudio afirma que las gorditas hacen más feliz a un hombre que una flaquita | Nuevo Diario