Wanaume Wenye Wanawake Wanene Wana Furaha Zaidi (Science)

Wanaume Wenye Wanawake Wanene Wana Furaha Zaidi (Science)

Haaaa haaaaa NALENDWA agaiiiin.

U r right.Na wengi waaminifu ktk ndoa zao,waridhikaga na kidogoo cha mumewe,ndo maana WANAUME nao HUONA fahar kuheshimiwa ,Kupepewa nguvu ya utafutaji na KUZID KUWA NA FURAHA.

NALENDWA NALENDWA NALENDWA.Kwanini unanibania lugha hyo?[emoji1] [emoji1]
 
Wanawake wanene hawafurahishi sana ninapingana na meta hoja sio wazuri sana kwenye yale yetu kuliko wa wastani na kachura kakubwa ka wastani
 
Tunaongelea facts za kisayansi. Au we hukwenda shule? Unataka tuongelee wanene hewani hewani wakati mifano halisi ipo? Na huyo unayesema nimemuanika unamjua jina lake?
Weka sayansi yako hapa sijaona fact yoyote ya kisayansi uliyoiandika, Hata bila kumtaja jina umemvua nguo na huna adabu kwa mkeo, thats it!
Kama uliijua hyo sayansi yako na hukutaka mzembe kitandani ulimuolea nini?
 
BBIJBry.img


20170121025353ef4d514271482b247a8844d00486f0ea.jpg


Finally, ladies with curves get a little love!

Utafiti uliofanyika hivi karibuni kutoka University of Mexico umeonyesha kuwa wanaume wenye wanawake wanene au waliooa wanawake wanene wana furaha mara kumi zaidi kuliko wanaume wenye wanawake wembamba au waliooa wanawake wembamba.

Utafiti huo umeonyesha pia kuwa wanaume wenye wanawake wanene, huwa wana smile zaidi na wanaweza kutatua matatizo haraka zaidi kuliko wanaume wenye wanawake wembamba.

Un estudio afirma que las gorditas hacen más feliz a un hombre que una flaquita | Nuevo Diario
doh unene raha kumbee! basi sipungui
 
Usinifanye nizidishe msosi mie.... Ila inaweza kuwa kweli eeeh... Maana wale wenzangu na mie tuna gubuuuu sijui mioyo yetu inagusana na mifupaa!!

Jamani nimewaza tuu kwa sauti!!!
Naam
 
Halafu wife yupo kwenye "diet", eti apungue, wakati mie napenda zile minofu.

Yaani lazima nikinukishe ti teh[emoji16][emoji16][emoji13]
 
Hahaha
Huwa najiulizaga sipati jibu dear, halafu sio kwamba tunapenda ujue!!! Aki nahisi mioyo yetu inagusana na mifupa
Kuongezea ni kwamba wanawake wenye miili wa najua kupenda kweli na wana hisia sana. Unaenjoy sana ukiwa nao. Halafu wanatupenda sisi wanaume vipotabo...
 
Back
Top Bottom