Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,699
- 126,539
Baby mambo...nimekumis mbona huonekani?Hii valentine hiii
Baby mambo...nimekumis mbona huonekani?Hii valentine hiii
[emoji23] [emoji23] miss you too baby nimesafiri kikazi nitarudi mwezi ujao.Baby mambo...nimekumis mbona huonekani?
hahaha dada utulivu kdg tafadhalUsinifanye nizidishe msosi mie.... Ila inaweza kuwa kweli eeeh... Maana wale wenzangu na mie tuna gubuuuu sijui mioyo yetu inagusana na mifupaa!!
Jamani nimewaza tuu kwa sauti!!!
Poa baby nashukuru tu 'umekonfemu' kuwa hautakuwepo valentine hii bas sawa mimi ntashinda nalala[emoji23] [emoji23] miss you too baby nimesafiri kikazi nitarudi mwezi ujao.
l![]()
![]()
Finally, ladies with curves get a little love!
Utafiti uliofanyika hivi karibuni kutoka University of Mexico umeonyesha kuwa wanaume wenye wanawake wanene au waliooa wanawake wanene wana furaha mara kumi zaidi kuliko wanaume wenye wanawake wembamba au waliooa wanawake wembamba.
Utafiti huo umeonyesha pia kuwa wanaume wenye wanawake wanene, huwa wana smile zaidi na wanaweza kutatua matatizo haraka zaidi kuliko wanaume wenye wanawake wembamba.
Un estudio afirma que las gorditas hacen más feliz a un hombre que una flaquita | Nuevo Diario
Mambo yapi mkuu?Hayo ndio mambo yangu sasa
umesababisha nimecheka kwa nguvu bidada usiku huuUsinifanye nizidishe msosi mie.... Ila inaweza kuwa kweli eeeh... Maana wale wenzangu na mie tuna gubuuuu sijui mioyo yetu inagusana na mifupaa!!
Jamani nimewaza tuu kwa sauti!!!
kile ni chembamba si unaona kinavoongeaHivi Kimambi yupo kundi la wanene au wembamba? Simpatii picha anayemtanua..teh!
Haaaa haaaaa NALENDWA agaiiiin.
U r right.Na wengi waaminifu ktk ndoa zao,waridhikaga na kidogoo cha mumewe,ndo maana WANAUME nao HUONA fahar kuheshimiwa ,Kupepewa nguvu ya utafutaji na KUZID KUWA NA FURAHA.
NALENDWA NALENDWA NALENDWA.Kwanini unanibania lugha hyo?[emoji1] [emoji1]