Wanaume Wenye Wanawake Wanene Wana Furaha Zaidi (Science)

Wanaume Wenye Wanawake Wanene Wana Furaha Zaidi (Science)

Sasa ni wakati wa kuleta tafiti za Twaweza, hivi Twaweza wanasemaje kuhusu hili la wanawake wanene vs wanawake wembamba?
 
Hakuna lolote, utafiti feki huo. Mbona mimi mke wangu mnene na hizo sifa unazozisema sizioni? Kwanza wanene wana gubu halafu ni wavivu kwenye 6x6. Kamoja tu anahema kama kitimoto mjamzito....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Usinifanye nizidishe msosi mie.... Ila inaweza kuwa kweli eeeh... Maana wale wenzangu na mie tuna gubuuuu sijui mioyo yetu inagusana na mifupaa!!

Jamani nimewaza tuu kwa sauti!!!
Kwahiyo mifupa inaongeza msuguano na kuzaliwa GUBUUUU [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naunga mkono hoja nilikua nae Miss mmoja kutoka Manyara ni kisirani kuliko kawaida kifupi siku enjoy kabisa
 
Itakuwa kweli simnamuona Mange kimambi alivyo na mdomo mchafu!
 
Hahaha
Ujue sitaki uchochezi mie
[emoji23][emoji23] unalo,uchochezii [emoji23][emoji23] aaa nimekuvulia kofia,ukweli ninecheka sanaa,lakini nadhani kunakaukweli sababu - mfano Dagaa na samaki mkubwa hata uandaaji wake nitofauti!
(1) samaki mkubwa unampasua maji maramoja then jikoni.
(2) sasa mwenzangu namie Dagaa - maji tena yamoto sio uvuguvugu?koboa mchanga + chekecha + kung'uta + uwachungulie kaka mchanga umeisha + utumbo mchungu + vichwa ukatekate heeeeeeee!!! Hapana ukweli BOBGE HOYEEEEE
 

Attachments

  • IMG-20180115-WA0007.jpg
    IMG-20180115-WA0007.jpg
    34.9 KB · Views: 26
Back
Top Bottom