Wanaume Wenye Wanawake Wanene Wana Furaha Zaidi (Science)

Wanaume Wenye Wanawake Wanene Wana Furaha Zaidi (Science)

Attachments

  • IMG-20180115-WA0007.jpg
    IMG-20180115-WA0007.jpg
    34.9 KB · Views: 27
Aliniambia rafiki angu mmoja hivi kutokea Alabama kuwa Wanawake wanene hasa wanene sana ni machaguo ya wachache (sexual attractiveness ) hivyo anapochaguliwa huwa na furaha sana na huridhika na yule aliyemchagua,
Akichaguliwa huona kama amepata yote na kutokuwa na''comparisons''. Na hii ilitokana na ile hali ya kukatishwa tamaa kwamba kwa Mwili huo nani atakupenda (hasa kwa zamani wazungu walikuwa na wanawabagua sana wanawake wanene) hivyo ikitokea mwanamke mnene akapata mwenza huwa na furaha ya ajabu na kuwa stress free hivyo huishi hata na wale wanaomzunguka kwa furaha , kwa mantiki hiyo basi huwaongezea hata wenzi wao furaha.

Anaongeza kuwa mwanamke wa kawaida, slim, wenye vishepu (american figure) huwa ni machaguo ya wengi hata akitokea akimkubali mmojawapo huwa na tabia ya kufanya comparisons na wale alowaacha, jambo ambalo akigundua mambo ya kule ni mazuri kuliko sehemu alipo humfanya kuwa mtu wa kutamani ya "kule" kitu kinachopelekea kuwa stressed.

Kwa mbaaali nilimuelewa.
 
Kama kuna ukweli fulani vile, maana nakumbuka kuna kipindi nikiwa bado na mchumba wangu alikua mnene Masha Allah alikua hana shida hata kidogo...
Yaani aliniona na mchepuko lakini cha kushangaza akaniomba mimi msamaha.
Nikaondoka kama miaka miwili kwenda kusaka maisha (ajira), ndani ya kipindi chote hicho alikua anakonda na alikua mwembamba hadi Leo hii kwa kunifikiria sana nisije nikamuacha na kupata mwengine niliko.
Lakini kwa kuwa nilimuahidi nilitekeleza ahadi yangu ya kufunga nae ndoa.
Sasa hapa ndo nimekumbuka hilo, maana kwasasa ana gubu hatari, mpaka nashindwa kuwa huru.
 
Inategemea na urefu wako. Kama ni around 165cm nafikiri 76kg ni wastani tu. Ila kama upo below 160, obesity. Ukiwa 168+ upo poa. Mi nina 166cm, so 65-75kg kwangu siyo ubonge.

Hizo data zinatokana zimetokana na my personal observation.. si mtaalamu wa BMI, so I stand to be corrected
Mkuu, we mrefu kwa average ya wanawake. 166cm ni tolu kabisa.
 
Back
Top Bottom