Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Finally, ladies with curves get a little love!
Utafiti uliofanyika hivi karibuni kutoka University of Mexico umeonyesha kuwa wanaume wenye wanawake wanene au waliooa wanawake wanene wana furaha mara kumi zaidi kuliko wanaume wenye wanawake wembamba au waliooa wanawake wembamba.
Utafiti huo umeonyesha pia kuwa wanaume wenye wanawake wanene, huwa wana smile zaidi na wanaweza kutatua matatizo haraka zaidi kuliko wanaume wenye wanawake wembamba.
Un estudio afirma que las gorditas hacen más feliz a un hombre que una flaquita | Nuevo Diario