Tushayajenga na tunaelekea kupauwa tu na kuhamiaNjoo dada tuyajenge mie sitachepuka ng'o
Mi mbona nimetulia kitambo tu, nishatulizwa i meannjoo tutulizane Lady of destiny1
na nani tena?? ndoana unalalamika hapa, acha tu akunyoosheTushayajenga na tunaelekea kupauwa tu na kuhamia
Povuu 😂 😂 😂 ukweli utabaki kuwa hata wa kwako anachepuka hakuna umalaya wala nini...Kuna wanaume wameoa wake sio wao ndo mana wanachepuka kutafuta wake zao, same with wanawake, bahadhi yao wameolewa na wanaume sio wao, ndio maana wanachepuka kutafuta waume zao.
Mwanaume chepuka kadri uwezavyo hadi upate soul mate, utaona mwenyewe unatulia. Ila mwanamke kuchepuka sana ni umalaya, tulia na uliyekuwa naye, utapata ukimwi. Sheenzi taipu.💪💪💪
Nina miaka 57,sijawahi kuona mwanaume asiyechepuka, unamiaka mingapi mjukuu wangu?Mnajiangamiza kwa misemo yenu ya kujitia moyo
Kutulia inawezekana
Mbona wapo wanaume wasio na michepuko???
Alafu akitoka job mke unampokea ujui hili wala lile unajua una bwana kumbe looohKuna mkaka wa heshima na nafasi kubwa tu serikalini. Amekamata katoto ka form six direct employment, amekapangishia guest wing.
Kila akitoka kazini ana kaa huko mpaka saa mbili usiku ndiyo anakwenda kwake. Anamhudumia kila kitu mpaka gari amemnunulia.
Hiyo inakubalika inaitwa life extension, mwanaume una extend maisha kwa kujiongezea majukumu. Kwa msisitizo ni wanaume sio wavulana.Kuna mkaka wa heshima na nafasi kubwa tu serikalini. Amekamata katoto ka form six direct employment, amekapangishia guest wing.
Kila akitoka kazini ana kaa huko mpaka saa mbili usiku ndiyo anakwenda kwake. Anamhudumia kila kitu mpaka gari amemnunulia.
Hahaha nazungumzia nayoyaona nipitapo karibu na nyumba za wageni majirani na kwinginekona nani tena?? ndoana unalalamika hapa, acha tu akunyooshe
Nina 45 kaka yangu nimeona wengiiiii wasiochepuka wangu akiwepoNina miaka 57,sijawahi kuona mwanaume asiyechepuka, unamiaka mingapi mjukuu wangu?
ila Mungu anapata kazi tu kwa mijitu kama hiyoo kama kuoa ametaka mwenyewe kwa nn kuchepuka ?Mungu awakumbushe tu kuwa kiama kipo
Ila kwa nini mambo yasiyo na sifa kwenye jamii ndo wanaume huwa mnajisifu nayo????Hiyo inakubalika inaitwa life extension, mwanaume u a extend maisha kwa kujiongezea majukumu. Kwa msisitizo ni wanaume sio wavulana.
kwenye nyumba za wageni unaendaga kufanya nini mara kwa mara hadi uje na huu uzi au unafanya kazi huko??Hahaha nazungumzia nayoyaona nipitapo karibu na nyumba za wageni majirani na kwingineko
Kwa imani tu naamini hayumo miongoni mwao kwa Jina la Bwana wa Majeshi
Mnaulizwa huku, mje mjibuila Mungu anapata kazi tu kwa mijitu kama hiyoo kama kuoa ametaka mwenyewe kwa nn kuchepuka ?
Kati ya sababu nyingi za wake za watu kuchepuka hii ni mojawapo.Alafu akitoka job mke unampokea ujui hili wala lile unajua una bwana kumbe loooh
Ukifika usiku unashangaa unaambiwa leo mke wangu nimechoka sana kazi zilikuwa nyingi kumbe mwenzio kaachwa vizuri
Mbona huwa hammalizi salama, yani sijawahi sikia mchepuko ulowin hata siku moja mwisho wa siku anabebeshwa mimba wanaanza kutukananaPovuu ukweli utabaki kuwa hata wa kwako anachepuka hakuna umalaya wala nini...
Haukuwa mchepuko mzee wa kugeneralize, mambo mengine mpaka umfahamu mhusika ndo utaelewa achana na hizi stori za JfYule aliyekutwanga ujamwepesi halafu baadae mkazinguana ukabidi urudi kwa jamaa wako wa chuo uliyemkataa mwanzo, alikuwa anachepuka muda gani ?