Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

1.Wanatumia muda wa break fast
2.Muda wa lunch
3.Na baada ya kutoka job kabla ya kufika nyumbani
3.Akifika nyumbani mpoleee kama hakuna kilichotokea

WARNING :Matha House zidisha maombi juu ya hawa watu janga hili ni kubwa bila Mungu haiwezekani

Ova

Mkuu hao wanaume wanachepuka na wanawake lakini au sivyo???
 
Wengi tunafanya hivo.. Nb: ukitaka u enjoy mapenzi ya kweli kwa mwanamke usimuoe ukioa umemharibu we mle tu ukiweza mpangishie hata nyumba nzima somesha wanae kama anao, mnunulie hata gari kama unao uwezo nk.
Hayo si mapenzi bali ni maisha ya kuigiza, kwa sababu anajua aki mess up tu hapati huduma

Mapenzi yanatokea pale mnapoweza kupendana regardless of ur differences
 
Hatari sana...

Muda wa kazi unavyobana siku hizi, kuingia kwa finger print kutoka kwa finger print kuna mtu anayehangaika kupoteza muda wake kwenye mambo kama hayo...


Cc: mahondaw
 
Na huo ndio ukweli mchungu ndio maana, huwa natimiza majukumu yangu kama baba wa familia, kuilinda na kuisimamia hayo mengine ya kuchepuka au kutochepuka namuachia Mungu Baba wa majeshi, I have no such useless time kufatilia mtu mzima aliyelelewa na wazazi wake.
Waswahili wanasema, ukimchunguza sana bata hutoweza kumla.
Safi sana.. Kumbe mnajua ukweli ila mnavyojikausha ni kama mnawaamini wake zenu. Ila ni vizuri maana nyie mna roho ndogo 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom