Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

Lady of Destiny1

Lady of Destiny1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2019
Messages
568
Points
1,000
Lady of Destiny1

Lady of Destiny1

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2019
568 1,000
Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

1.Wanatumia muda wa break fast
2.Muda wa lunch
3.Na baada ya kutoka job kabla ya kufika nyumbani
3.Akifika nyumbani mpoleee kama hakuna kilichotokea

WARNING :Matha House zidisha maombi juu ya hawa watu janga hili ni kubwa bila Mungu haiwezekani

Ova
 
L

Lihove2

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2018
Messages
635
Points
1,000
L

Lihove2

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2018
635 1,000
Unapigwa lunch time harafu unaridi kihudumia cliants kwa office.

ndiyo maana kuna baadhi ya wahudumu ukiongea naye unaona ti hasira zinakupanda
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
37,625
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
37,625 2,000
Kuna mkaka wa heshima na nafasi kubwa tu serikalini. Amekamata katoto ka form six direct employment, amekapangishia guest wing.

Kila akitoka kazini ana kaa huko mpaka saa mbili usiku ndiyo anakwenda kwake. Anamhudumia kila kitu mpaka gari amemnunulia.
 
linguistics

linguistics

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
4,290
Points
2,000
linguistics

linguistics

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
4,290 2,000
Kuna wanaume wameoa wake sio wao ndo mana wanachepuka kutafuta wake zao, same with wanawake, bahadhi yao wameolewa na wanaume sio wao, ndio maana wanachepuka kutafuta waume zao.
Mwanaume chepuka kadri uwezavyo hadi upate soul mate, utaona mwenyewe unatulia. Ila mwanamke kuchepuka sana ni umalaya, tulia na uliyekuwa naye, utapata ukimwi. Sheenzi taipu.💪💪💪
Povuu 😂 😂 😂 ukweli utabaki kuwa hata wa kwako anachepuka hakuna umalaya wala nini...
 
Lady of Destiny1

Lady of Destiny1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2019
Messages
568
Points
1,000
Lady of Destiny1

Lady of Destiny1

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2019
568 1,000
Kuna mkaka wa heshima na nafasi kubwa tu serikalini. Amekamata katoto ka form six direct employment, amekapangishia guest wing.

Kila akitoka kazini ana kaa huko mpaka saa mbili usiku ndiyo anakwenda kwake. Anamhudumia kila kitu mpaka gari amemnunulia.
Alafu akitoka job mke unampokea ujui hili wala lile unajua una bwana kumbe loooh

Ukifika usiku unashangaa unaambiwa leo mke wangu nimechoka sana kazi zilikuwa nyingi kumbe mwenzio kaachwa vizuri
 
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2014
Messages
2,587
Points
2,000
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2014
2,587 2,000
Kuna mkaka wa heshima na nafasi kubwa tu serikalini. Amekamata katoto ka form six direct employment, amekapangishia guest wing.

Kila akitoka kazini ana kaa huko mpaka saa mbili usiku ndiyo anakwenda kwake. Anamhudumia kila kitu mpaka gari amemnunulia.
Hiyo inakubalika inaitwa life extension, mwanaume una extend maisha kwa kujiongezea majukumu. Kwa msisitizo ni wanaume sio wavulana.
 
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
5,521
Points
2,000
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2018
5,521 2,000
Hahaha nazungumzia nayoyaona nipitapo karibu na nyumba za wageni majirani na kwingineko
Kwa imani tu naamini hayumo miongoni mwao kwa Jina la Bwana wa Majeshi
kwenye nyumba za wageni unaendaga kufanya nini mara kwa mara hadi uje na huu uzi au unafanya kazi huko??
 
linguistics

linguistics

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
4,290
Points
2,000
linguistics

linguistics

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
4,290 2,000
Alafu akitoka job mke unampokea ujui hili wala lile unajua una bwana kumbe loooh

Ukifika usiku unashangaa unaambiwa leo mke wangu nimechoka sana kazi zilikuwa nyingi kumbe mwenzio kaachwa vizuri
Kati ya sababu nyingi za wake za watu kuchepuka hii ni mojawapo.
 
Lady of Destiny1

Lady of Destiny1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2019
Messages
568
Points
1,000
Lady of Destiny1

Lady of Destiny1

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2019
568 1,000
Povuu ukweli utabaki kuwa hata wa kwako anachepuka hakuna umalaya wala nini...
Mbona huwa hammalizi salama, yani sijawahi sikia mchepuko ulowin hata siku moja mwisho wa siku anabebeshwa mimba wanaanza kutukanana
Kama kuna ambao amewahi kuchepuka na akasucceed ni 3/10

Tafuta mbaba yeyote mwenye ndoa alafu na mchepuko hata kama atakaa na mchep miaka kumi fatilia mwisho wao hata akimuowa mara nyingi mwisho hauwi mzuri nina evidence za watu wengi
 
Lady of Destiny1

Lady of Destiny1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2019
Messages
568
Points
1,000
Lady of Destiny1

Lady of Destiny1

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2019
568 1,000
Yule aliyekutwanga ujamwepesi halafu baadae mkazinguana ukabidi urudi kwa jamaa wako wa chuo uliyemkataa mwanzo, alikuwa anachepuka muda gani ?
Haukuwa mchepuko mzee wa kugeneralize, mambo mengine mpaka umfahamu mhusika ndo utaelewa achana na hizi stori za Jf
 
Forum statistics

Threads 1,334,800
Members 512,099
Posts 32,487,265
Top