Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

Kuna mkaka wa heshima na nafasi kubwa tu serikalini. Amekamata katoto ka form six direct employment, amekapangishia guest wing.

Kila akitoka kazini ana kaa huko mpaka saa mbili usiku ndiyo anakwenda kwake. Anamhudumia kila kitu mpaka gari amemnunulia.
 
Kuna wanaume wameoa wake sio wao ndo mana wanachepuka kutafuta wake zao, same with wanawake, bahadhi yao wameolewa na wanaume sio wao, ndio maana wanachepuka kutafuta waume zao.
Mwanaume chepuka kadri uwezavyo hadi upate soul mate, utaona mwenyewe unatulia. Ila mwanamke kuchepuka sana ni umalaya, tulia na uliyekuwa naye, utapata ukimwi. Sheenzi taipu.💪💪💪
Povuu 😂 😂 😂 ukweli utabaki kuwa hata wa kwako anachepuka hakuna umalaya wala nini...
 
Kuna mkaka wa heshima na nafasi kubwa tu serikalini. Amekamata katoto ka form six direct employment, amekapangishia guest wing.

Kila akitoka kazini ana kaa huko mpaka saa mbili usiku ndiyo anakwenda kwake. Anamhudumia kila kitu mpaka gari amemnunulia.
Alafu akitoka job mke unampokea ujui hili wala lile unajua una bwana kumbe loooh

Ukifika usiku unashangaa unaambiwa leo mke wangu nimechoka sana kazi zilikuwa nyingi kumbe mwenzio kaachwa vizuri
 
Kuna mkaka wa heshima na nafasi kubwa tu serikalini. Amekamata katoto ka form six direct employment, amekapangishia guest wing.

Kila akitoka kazini ana kaa huko mpaka saa mbili usiku ndiyo anakwenda kwake. Anamhudumia kila kitu mpaka gari amemnunulia.
Hiyo inakubalika inaitwa life extension, mwanaume una extend maisha kwa kujiongezea majukumu. Kwa msisitizo ni wanaume sio wavulana.
 
Povuu ukweli utabaki kuwa hata wa kwako anachepuka hakuna umalaya wala nini...
Mbona huwa hammalizi salama, yani sijawahi sikia mchepuko ulowin hata siku moja mwisho wa siku anabebeshwa mimba wanaanza kutukanana
Kama kuna ambao amewahi kuchepuka na akasucceed ni 3/10

Tafuta mbaba yeyote mwenye ndoa alafu na mchepuko hata kama atakaa na mchep miaka kumi fatilia mwisho wao hata akimuowa mara nyingi mwisho hauwi mzuri nina evidence za watu wengi
 
Back
Top Bottom