Aina 4 za wanawake ambao hawawezi kudumu kwenye ndoa

Mr Alpha

Senior Member
Jul 31, 2018
195
522
1: WANAWAKE WAZURI SANA
- Inahitajika roho mtakatifu tu kumfanya mwanamke mrembo adumu ndani ya ndoa.

- Wana matumizi makubwa sana (Wagharama sana) pia wengi wana tamaa kwa kujiona wanastahili kupata watu wenye hela zaidi na kutokana na kutamaniwa sana hujisahau na kuingia mtegoni

- Wengine Wanatumia uzuri wao kama mtaji wa kutengeneza pesa

2: WANAWAKE WENYE ELIMU ZAIDI
- Mwanamke akiwa na degree, Masters, PhD ilii abaki kwenye ndoa ni neema ya Mungu tu.

- Sifa zao huwafanya wawe Single.

- Tembelea ofisi katika makampuni, wanawake wengi walio na nafasi za juu na matajiri hawajaolewa au waliachika

Chanzo kikuu ni kujifanya wajuaji kuliko hata waume zao, anaamini kama anaongoza wanaume ofisini na amekuzidi elimu na hela kwanini wewe mume asikuongoze?

3: WANAWAKE KUTOKA FAMILIA TAJIRI
- Wanawake wanaolelewa chini ya familia za kitajiri ni ngumu kuolewa kwa sababu wanataka mazingira yale yale waliyokulia nayo.

- Hawataki kushauriwa
Hujikuta mameneja mpaka ndan ya ndoa wajuaji na jeuri mno

4: WANAWAKE WAPENDA DINI SANA
- Wanawake wengi walio na wito wa Mungu hawana waume, ama wameachika

- Hawana muda wa kufanya kazi za nyumbani

-Hawana muda wa kuwajali waume zao

- Waume zao hawawezi kuwashauri kwa sababu wanasikiliza tu kutoka kwa roho mtakatifu.

Kuna anaebisha haya?
 
Kuna mama mmoja hamfahamu amedumu kwenye ndoa ikiwa na furaha na amani isiyo kuficha.
Ambacho hana kati ya ulio orodhesha hapo ni uzuri.
Ametoka familia ya kitajiri.
Elimu ni Phd
Wakiitwa watu wenye fedha kwenye ule mkoa hakosekani.
Alikua mwenyekiti wa parokia, ni mratibu wa kasmatiki, ni mwalimu wa neno la Mungu pia ni mwana maombi na kiongozi wa maombi ngazi ya taifa kwa wakati ule, kwa hiyo kwenye dini ni mshika dini haswa.
 
1: WANAWAKE WAZURI SANA
- Inahitajika roho mtakatifu tu kumfanya mwanamke mrembo adumu ndani ya ndoa.

- Wana matumizi makubwa sana (Wagharama sana) pia wengi wana tamaa kwa kujiona wanastahili kupata watu wenye hela zaidi na kutokana na kutamaniwa sana hujisahau na kuingia mtegoni

- Wengine Wanatumia uzuri wao kama mtaji wa kutengeneza pesa

2: WANAWAKE WENYE ELIMU ZAIDI
- Mwanamke akiwa na degree, Masters, PhD ilii abaki kwenye ndoa ni neema ya Mungu tu.

- Sifa zao huwafanya wawe Single.

- Tembelea ofisi katika makampuni, wanawake wengi walio na nafasi za juu na matajiri hawajaolewa au waliachika

Chanzo kikuu ni kujifanya wajuaji kuliko hata waume zao, anaamini kama anaongoza wanaume ofisini na amekuzidi elimu na hela kwanini wewe mume asikuongoze?

3: WANAWAKE KUTOKA FAMILIA TAJIRI
- Wanawake wanaolelewa chini ya familia za kitajiri ni ngumu kuolewa kwa sababu wanataka mazingira yale yale waliyokulia nayo.

- Hawataki kushauriwa
Hujikuta mameneja mpaka ndan ya ndoa wajuaji na jeuri mno

4: WANAWAKE WAPENDA DINI SANA
- Wanawake wengi walio na wito wa Mungu hawana waume, ama wameachika

- Hawana muda wa kufanya kazi za nyumbani

-Hawana muda wa kuwajali waume zao

- Waume zao hawawezi kuwashauri kwa sababu wanasikiliza tu kutoka kwa roho mtakatifu.

Kuna anaebisha haya?
Acha kukariri....
 
Kwani Kuolewa ni lazima?

Msilazimishe kila mtu aolewe
 
Bora nikutane na mwenye elimu kuliko wafia dini acha kbsaa hyo jamiii
 
Sidhani kama kuna ukweli,nahisi ni mawazo hasi tuliyonayo wanaume,kuna rafiki yangu anamjomba yake,na mjomba hana Kazi yoyote,mkewe ni boss mkubwa taasisi fulani lakini namna alivyoset standards,japo ndugu wote wa Pande zote mbili wanajua mwenye hela ni mke,wakimuomba anasema kaombeni kwa Baba mimi sina,so ni namna familia ilivyojengwa na msingi imara,hata uende pale unataka nini kama hujapita kwa Baba hakusaidii
 
Mwanamke asieweza kudumu kwenye ndoa ni yule mkaidi, mzinzi na mshirikina wengine yawezekana sana tu imradi upate mtu mnalandana, ukiolewa na LIKUD ata uwe chawi sawa tu.
 
Back
Top Bottom