Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

kekule benzene

JF-Expert Member
Sep 28, 2016
1,236
2,987
images.jpeg

Habarini za Nanenane wana JamiiForums, moja kwa moja niende kwenye mada.

Binafsi kabla ya kuoa nilikuwa nina matarajio makubwa sana katika ndoa; ndoa yangu itakuwa yenye amani, upendo na furaha.

Nilikuwa nawaza vitu vingi ambavyo ni vya furaha katika ndoa, jambo ambalo lilinipa hamasa ya kupambana ili nioe, na kweli nikaoa na sasa nina mwaka wa pili katika ndoa.

Baada ya kuingia kwenye ndoa kuna baadhi ya mambo ambayo nilipanga nisiyafanye ila nimejikuta nayafanya, kuna mambo mengi nilipanga niyafanye ila nimejikuta siyafanyi. Pia kuna baadhi ya mambo nilidhani nitayakuta ila sijayakuta kama nilivyodhani. Baadhi ya hayo ni;

1. Nilikuwa nadhani ndoa ingekuja kuwa suluhisho la upwiru (kupata mbususu kila nitakapo).

Binafsi nilikuwa nadhani ningepata mbususu kila ninapohitaji ukiachilia mke akiwa period au mgonjwa lakini si kweli, unaweza ukakosa utelezi wiki hadi mwezi mzima kwa sababu zisizo na msingi hasa makasiriko, mwanamke kutojisikia nk.

2. Nilitegemea mapenzi yetu yangekuwa kama ya kwenye movie yale (masiharamasihara, mzaha, utani, kuchezacheza nk) ila najikuta muda mwingi tupo kwenye makasiriko na kununiana.

3. Niliapa kuwa password ya simu yangu lazima mke wangu aijue na sitakuwa na haja ya kumficha, ikiwa nitamuonesha Abdallah kichwa wazi sasa password kitu gani?

My friends, ilinichukua mwezi mmoja tu kubadilisha password na mpaka sasa kila mtu anatumia simu yake tu, kila mtu hajui password ya mwenzake.

4. Nilikuwa nasema, nitakuwa muwazi katika kipato changu, yaani atajua mwisho wa mwezi napata kiasi gani
Miezi mitatu ya mwanzoni nilijaribu kumuambia pesa ninayopata kwa mwezi (nilipunguza), baada ya kuweka ile amount yote akapangilia kwenye matumizi ya nyumbani, na mimi nikamuacha tu, cha ajabu zimepita siku tano tu mara anataka nimnunulie hiki, mara kile wakati pesa zote zimeenda kwenye ratiba ya home na sikuchukua hata mia.

Hapo nikaapa mshahara wangu utakuwa siri yangu, nikavunja msimamo wangu wa awali.

5. Kabla ya ndoa tulipanga mipango ya kimaendeleo hasa biashara, na tulipanga ili mambo yaende vizuri inabidi tusizae mapema (maana yeye ndiye inabidi asimamie shoo), cha ajabu mwezi wa kwanza tu anadai anataka mtoto, mambo ya maisha yapo tu.

6. Kwa kusisitiza, nilidhani mbususu itakuwa available muda mwingi kwangu, ila ukweli ni kwamba wanawake wengi hawapendi kufanya mapenzi kama tunavyotaka sisi wanaume, wanawake wengi wanahitaji kufanya mapenzi mara chache ikiwezekana wiki mara moja au mbili, japo wanaume wengi (vijana) huwa tunapenda shoo kila siku.

Baada ya kuoa ndio nimegundua kwanini watu wengi huwaacha wake/waume zao wazuri.

Ndoa zina mambo mengi mno, hasa huwa tunategemea furaha na upendo usio na kifani ila baada ya kuoa mambo huwa tofauti kwa watu wengi.

Vijana wa Kataa Ndoa Wana hoja, wasikilizwe japo sishauri kutooa ila nashauri tujipange kisawasawa kabla ya kuingia kwenye ndoa.

Tujipange sana kiuchumi, pia tusiwe na matarajio makubwa mno katika ndoa hata kama mke/mume wako mtarajiwa anafit katika vigezo vyote unavyovitaka.

Binafsi nilifanya research sana juu ya mke mtarajiwa na nikahakikisha ana vigezo vingi ninavyovihitaji (ikiwemo ubikra), japo sikuwahi kuishi naye wala kusex kabla ya ndoa.

Jambo gani ulidhani utalikuta kwenye ndoa ila hujalikuta?

Jambo gani ulipanga ungefanya katika ndoa ila baada ya ndoa hutamani kufanya tena?
 
Katika harakati za kusoma psychology, nilikutana na kipengele kikielezea kwa nini wanasaikolojia huwa wanatumia wanyama katika majaribio yao na si wanadamu

Mfano mzuri, experiment ya mbwa na kengele (conditional reflex action - kwa wanabailojia)

Sababu wakasema " Human being is a intelligent and complex creature, He can change any time whenever he discovers that he is investigated.

Binadamu ni kiumbe chenye akili sana, kinaweza kubadilika muda wowote endapo kitagundua kwamba kinachunguzwa
 
Maneno ya humu hasa hili jukwaa la mapenzi changanya na zako, kila mmoja ana background na makuzi yake na mazingira tofauti kabisa hatufanani.
Na ukiwafata utapotea watu wanapoelezea madhaifu ya wenzao wanasahau Yao kabisa na huenda wanafanya makosa mara nyingi
Muhimu Ishi maishayako watu hawafanani makosa hayafanani mazingira hayafanani
 
Tunaendelea kuifanyia kazi ndoa ili kupata matokeo ya maono na ndoto zangu ... ndoa sio matamanio au matarajio.. ndio maana unapewa kacheti kama vile ume hitimu kumbe ndio unaingia kuanza kuchakata module za ndoa moko baada ya ingine.. 😅😅
 
Na ukiwafata utapotea watu wanapoelezea madhaifu ya wenzao wanasahau Yao kabisa na huenda wanafanya makosa mara nyingi
Muhimu Ishi maishayako watu hawafanani makosa hayafanani mazingira hayafanani
Hakika, mwingine atakuja mke wangu au mpenzi wangu ivi na vile, mambo mengi sana kumbe deepdown yeye ndie matokeo ya yote na chanzo kikuu cha matatizo. Humu ni suala la kuwa makini sana.
 
Habarini za nanenane wana jamii forum, moja kwa moja niende kwenye mada

Binafsi kabla ya kuoa nilikuwa nina matarajio makubwa sana katika ndoa; ndoa yangu itakuwa yenye amani, upendo na furaha.

Nilikuwa nawaza vitu vingi ambavyo ni vya furaha katika ndoa, Jambo ambalo lilinipa hamasa ya kupambana ili nioe, na kweli nikaoa na Sasa nina mwaka wa pili katika ndoa

Baada ya kuingia kwenye ndoa Kuna baadhi ya mambo ambayo nilipanga nisiyafanye ila nimejikuta nayafanya, Kuna mambo mengi nilipanga niyafanye ila nimejikuta siyafanyi. Pia Kuna baadhi ya mambo nilidhani nitayakuta ila sijayakuta Kama nilivyodhani. Baadhi ya hayo

1. Nilikuwa nadhani ndoa ingekuja kuwa suluhisho la upwiru (kupata mbususu kila nitakapo)
_ Binafsi nilikuwa nadhani ningepata mbususu kila ninapohitaji ukiachilia mke akiwa period au mgonjwa lakini si kweli, unaweza ukakosa utelezi wiki hadi mwezi mzima kwa sababu zisizo na msingi hasa makasiriko, mwanamke kutojisikia nk

2. Nilitegemea mapenzi yetu yangekuwa Kama ya kwenye movie yale (masiharamasihara, mzaha, utani, kuchezacheza nk) ila najikuta muda mwingi tupo kwenye makasiriko na kununiana.

3. Niliapa kuwa password ya simu yangu lazima mke wangu aijue na sitakuwa na haja ya kumficha, ikiwa nitamuonesha Abdallah kichwa wazi Sasa password kitu gani??

_ My friends, ilinichukua mwezi mmoja tu kubadilisha password na mpaka Sasa kila mtu anatumia simu yake tu, kila mtu hajui password ya mwenzake.

4. Nilikuwa nasema, nitakuwa muwazi katika kipato changu, yaani atajua mwisho wa mwezi napata kiasi gani

_ miezi mitatu ya mwanzoni nilijaribu kumuambia pesa ninayopata kwa mwezi (nilipunguza), baada ya kuweka ile amount yote akapangilia kwenye matumizi ya nyumbani, na mimi nikamuacha tu, Cha ajabu zimepita siku tano tu mara anataka nimnunulie hiki, Mara kile wakati pesa zote zimeenda kwenye ratiba ya home na sikuchukua hata Mia
_ hapo nikaapa mshahara wangu utakuwa Siri yangu, nikavunja msimamo wangu wa awali

5. Kabla ya ndoa tulipanga mipango ya kimaendeleo hasa biashara, na tulipanga ili mambo yaende vizuri inabidi tusizae mapema (maana yeye ndiye inabidi asimamie shoo), Cha ajabu mwezi wa kwanza tu anadai anataka mtoto, mambo ya maisha yapo tu.

6. Kwa kusisitiza, nilidhani mbususu itakuwa available muda mwingi kwangu, ila ukweli ni kwamba wanawake wengi hawapendi kufanya mapenzi Kama tunavyotaka sisi wanaume, wanawake wengi wanahitaji kufanya mapenzi mara chache ikiwezekana wiki Mara moja au mbili, japo wanaume wengi (vijana) huwa tunapenda shoo kila siku.

Baada ya kuoa ndio nimegundua kwa nini watu wengi huwaacha wake/waume zao Wazuri

Ndoa zina mambo mengi mno, hasa huwa tunategemea furaha na upendo usio na kifani ila baada ya kuoa mambo huwa tofauti kwa watu wengi.

Vijana wa KATAA NDOA Wana hoja, WASIKILIZWE japo sishauri kutooa ila nashauri tujipange kisawasawa kabla ya kuingia kwenye ndoa.

Tujipange Sana kiuchumi, pia tusiwe na matarajio makubwa mno katika ndoa hata Kama mke/mume wako mtarajiwa anafit katika vigezo vyote unavyovitaka

Binafsi nilifanya research Sana juu ya mke mtarajiwa na nikahakikisha ana vigezo vingi ninavyovihitaji (ikiwemo ubikra), japo sikuwahi kuishi naye wala kusex kabla ya ndoa.

JAMBO GANI ULIDHANI UTALIKUTA KWENYE NDOA ILA HUJALIKUTA???

JAMBO GANI ULIPANGA UNGEFANYA KATIKA NDOA ILA BAADA YA NDOA HUTAMANI KUFANYA TENA???
Sio kweli mkuu wanawake wanapenda sex kukiko wanaume na wanafanya sana tu, ila tu wao wanatafsiri sex kwa zawadi yaan ukimla lazima umpe chochote kile ndo huko chini patafunguka uingie ila unasigina halafu unaondoka hivihici hupati kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom