Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,320
- 126,976
Muda gani huo unaousemea?
Muda gani huo unaousemea?
Sure MjombaaWapo wengi mno kama kuku wa kisasa dar es salaam,kila banda la chipsi kuna kuku kisasa ,Nani apotezee muda halafu kuna type nyingi miaka hii ngoma zimekuwa modified chaguo lako
Eeeh baba..mungu anakupa homework maswali ishirinii asaa siaminii ataa kwa kichwa chakoo kichafuu ichoo utakosapo ataa maswali mawili matatuMtu kila siku tunatongoza wanawake 20 sasa hapo unataka tulazimishe sana hapa hapo watano lazima upate kama kilissu lissu risasi 20 tano zikampata.
Asanteeh[emoji17] [emoji17] [emoji17]Utandawazi kaka.... Zamani barua zilikuwa hazifiki, akiikamata mtu anakula nayo kona.... We unajua mrembo kaisoma kumbe holla.... Zamani ukimtongoza mdada mpaka akaseme kwao kwanza, ko inabidi uwe mpole.... Ila wanaume wa zamani walikuwa na moyo wa uvumilivu mnoo..... Hongeraa zao
Wewe unaposhangaa hilo kuna wanaume hawatongozi wanatongozwa.Hellow,
Miaka ya zamani ilikuwa si jambo la ajabu kusikia mtu anafukuzia mwanamke kwa miaka hata miwili hadi mwishowe anampata, ila kwa sasa naona kama wanaume wengi wakishaambiwa tu "no" ndo imetoka hiyo, wana-give up mapema, au sometimes mwanaume akiona anajibiwa one-word text, basi hamfukuzii tena huyo mwanamke na mawazo ya kutongoza yanapotea.
I wonder why most guys (including me) are like this nowdays...
Mi kuna mmoja ananitongoza wiki ya tatu sasa, mara anasema tuonane nikitoka kazini, mara anani miss.Hao wanaume labda ni maarufu, au super handsome Al-Watan
Michicha miba imeongezeka.Wanawaongelea wale wa "ZILIPENDWA"?
Usijichoshe mkuu wanaume wa siku izi wanajiita " VIPUSA"
hahhaahaMi kuna mmoja ananitongoza wiki ya tatu sasa, mara anasema tuonane nikitoka kazini, mara anani miss.
Lakini namfungia vioo tu.
Mtoto wa Kinyamwezi ndo kwanza katoka kuchukua doctorate yake.
Lakini mwanamme wa kazi niko mstarini kama askari katika gwaride.
Kweli? me siamini. unajua siku hizi kuanza kufukuzana na wadau inakuwa jau sana. ndio maana hatutongozi sanaHawana mapenzi ya kweli, wanataka kuonjaonja tu, hata hivyo wapo wanaofukuzia muda mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nishamaliza salio langu la kubembea, kwa sasa ni kuwa mlokole tu, hata Scotch nimeacha. Mwezi wa pili huu sijagusa hata white wine, ni mwendo wa probiotic vinegar tu.
Ni kweli Okoyoko.Tatizo ni kwamba wanaume wengi wamezoea vya kuchinja,siku hizi ni vingi sana kwa sababu ya moral decay.Hawaoni sababu kwa ni wahangaike.Wamesahau kwamba cheap is expensive.Hellow,
Miaka ya zamani ilikuwa si jambo la ajabu kusikia mtu anafukuzia mwanamke kwa miaka hata miwili hadi mwishowe anampata, ila kwa sasa naona kama wanaume wengi wakishaambiwa tu "no" ndo imetoka hiyo, wana-give up mapema, au sometimes mwanaume akiona anajibiwa one-word text, basi hamfukuzii tena huyo mwanamke na mawazo ya kutongoza yanapotea.
I wonder why most guys (including me) are like this nowdays...
Ngoja basi sisi tule ujana kwanza, ili uzee uende vizuri.Mi nishamaliza salio langu la kubembea, kwa sasa ni kuwa mlokole tu, hata Scotch nimeacha. Mwezi wa pili huu sijagusa hata white wine, ni mwendo wa probiotic vinegar tu.
Nimefika mpaka Copa Cabana pale kwenye kibao kilichoandikwa "Mwisho wa Anasa ni Hapa, Huko Mbele Favella Tupu"
Nikiendeleza sana kujirusha kwa sasa kifuatacho ni kifo cha haraka tu.
Kula ujana, lakini angalia ujana usikule wewe.Ngoja basi sisi tule ujana kwanza, ili uzee uende vizuri.
aeiou
Ni kweli Okoyoko.Tatizo ni kwamba wanaume wengi wamezoea vya kuchinja,siku hizi ni vingi sana kwa sababu ya moral decay.Hawaoni sababu kwa ni wahangaike.Wamesahau kwamba cheap is expensive.