Wanaume wengi siku hizi hawatongozi muda mrefu

Wanaume wengi siku hizi hawatongozi muda mrefu

Siku hizi mwanamke ANAKUTHAMINISHA kwnza..KUANZIA SIMU..MAVAZI...GARI....NK anapata jibu HUYU JAMAA ANA PESA...NA ukiona kila unachoongea anaonyesha ushirikiano ujuwe UMEELEWEKA...lakini UKIANZA kumuuliza UNAITWA NANI...naitwa MTU...unakaa wapi ..ANAJIBU NAKAA kwenye kiti....WACHANA NAE fanya issue zingine.....NOW PESA MBELE....mashine YAKO KAKAMULIE JUICE..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara ya mwisho kutongoza ilikua ni mwaka 2012, nilitumia miezi minne mpaka mtoto akanielewa.
Siku hizi unachukua namba ya simu tu, stori za hapa na pale anakuomba hela unampa. Unamuambia aje home anakuja unapiga mzigo, kwisha kazi.
Sina mda wakutongoza tena

True said
 
Unatongoza mwaka kwan unaomba visa ya US...? Tik zikifika 3 unakula mzigo
Akikupa namba..[emoji736]
Akiwa anarespond on msg/whatsup..[emoji736]
Akija Geto..[emoji736]
Unaua game..oveeer
 
Mara ya mwisho kutongoza ilikua ni mwaka 2012, nilitumia miezi minne mpaka mtoto akanielewa.
Siku hizi unachukua namba ya simu tu, stori za hapa na pale anakuomba hela unampa. Unamuambia aje home anakuja unapiga mzigo, kwisha kazi.
Sina mda wakutongoza tena
Hongera yako[emoji35] [emoji57]
 
kuna mmoja juzi nimempanga akawa anaringaringa(sijui alitaka nimpigie magoti) akaniambia atanipa jibu,jana nimekutana nae kaniambia amekubali nikamwambia mi nlikua nakutania,alikasirika alafu nkajidai nlikua ninawai mahali.hawa viumbe hainahaja yakubembeleza sana akikubipu we piga kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
You killed it men
 
Hiki sio kizazi cha wahenga kk..[emoji23][emoji23]

Ugiligili
 
Utandawazi kaka.... Zamani barua zilikuwa hazifiki, akiikamata mtu anakula nayo kona.... We unajua mrembo kaisoma kumbe holla.... Zamani ukimtongoza mdada mpaka akaseme kwao kwanza, ko inabidi uwe mpole.... Ila wanaume wa zamani walikuwa na moyo wa uvumilivu mnoo..... Hongeraa zao
Haha mtu anasepa na barua yako.

brain is the beautiful part of the body.
 
Kabisaa mkuu, unashangaa unakutana na mtu anakupa tabasamu akidhani ulisoma ujumbe kumbee holla
Hahaha hapo unajifariji mambo yametiki kumbe mlengwa hata a b c zako hana

brain is the beautiful part of the body.
 
Hellow,

Miaka ya zamani ilikuwa si jambo la ajabu kusikia mtu anafukuzia mwanamke kwa miaka hata miwili hadi mwishowe anampata, ila kwa sasa naona kama wanaume wengi wakishaambiwa tu "no" ndo imetoka hiyo, wana-give up mapema, au sometimes mwanaume akiona anajibiwa one-word text, basi hamfukuzii tena huyo mwanamke na mawazo ya kutongoza yanapotea.

I wonder why most guys (including me) are like this nowdays...


LOOK AROUND, YOU WILL FIND OUT EVERYTHING HAS CHANGED.
 
Ilikuwa changamotoo kwa kweeeli, lakinii maisha yalikuwa poa zaidi
Sana aisee! Now days wivu umezidi na matukio mengi ya ndoa kuvunjika zikiwa changa

brain is the beautiful part of the body.
 
Back
Top Bottom